Base (Swahili) | English |
---|---|
Kuimarisha mfumo wa mawasiliano ya vijana kuhusu ukimwi na athali za madawa ya kulevya kuratibu ushirikiano ubadilishaji wa habari,ujuzi uzoefu na maswala mbalimbali yanayohusu vikundi hivyo kuwa kiungo/mratibu kati ya wanachama,uongozi na wilaya, mkoa na Taifa. kuwa mtetezi wa vikundi vya vijana Masasi ili vipante kuwakilishwa katika nyanjazote na elimu ya ujasiliamali kutoa mafunzo ya stadi za maisha utawala bora, sera za vijana ubunifu wa miradi
|
Strengthening the communication system of youth about HIV / AIDS and drug athali coordinate cooperation exchange of information, knowledge and experience various issues pertaining to groups a member / coordinator between members, leadership and district, region and nation. a champion of youth groups represented in Masasi to vipante nyanjazote and entrepreneurship education provide life skills training for good governance, youth policy creative projects |
Translation History
|