| Base (Igiswayire) | English |
|---|---|
|
Mifugo ni mojawapo wa mihimili mikubwa hapa kwetu Tanzania kama itatumiwa vizuri kwa chakula na biashara.Ndama huyu amezaliwa muda sio mrefu katika mikulima huyu wa maeneo ya Tegeta Dar es salaam Bwana KIbona. |
Livestock is one of the major pillars for us here in Tanzania as well be used for food and biashara.Ndama born this time not long in this farmer's areas of Dar es salaam Tegeta Why Lord. |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|
