Base (Swahili) | English |
---|---|
Tusome ni mradi unaendeshwa na shirika la Ni Hekima Pekee katika kata ya Butimba wilayani Nyamagana Mkoa wa Mwanza. Lengo la mradi huu ni kuwawezesha watoto wanaoishi mazingira hatarishi kupata elimu ya awali na msingi katika kata ya Butimba. Shirika kupitia mradi wa TUSOME linawatambua watoto hawa kwa ushirikiano na uongozi wa kata,mtaa na kamati za MVCS na mapara socia worker katika kila mtaa. Kwa ushirikiano mzuri wa wanakamati wa MVCC (most vulnerable children comittee) familia hutembelwa na kufanya utambuzi wa watoto wa uso kwa uso na kuongea na familia kwa mipango endelevu ya familia kwa manufaa ua maendeleo ya sasa na baadaye ya mtoto/watoto husika. Mijadala mbali mbali baina ya maofisa wa mradi wa Tusome, familia na kamati husika hujadiliwa kwa lengo la maendeleo ya mtoto na usalama wake kwa ujumla. Uongozi wa kata hutumia mwanya wa ugawaji wa vifaa vya shule kwa watoto kuwaasa wazazi na watoto kuwa makini na wafuatiliaji wa maendeleo ya taaluma. Kwa kushirikiana na walimu wa shule husika maofisa wa mradi hutembelea waoto wanaoishi mazingira hatarishi mashuleni kutathimini maendeleo ya mtoto mmoja mmoja na kusikiliza mapendekezo na ushauri wa waalimu kwa mtoto husika. Katika kufanikisha zoezi la uwezeshaji wa vifaa vya shule TUSOME hutumia mafundi (mafundi chelehani, na viatu) husika ndani ya jamii katika kutengeneaza vifaa vya watoto wanaoishi mazingira hatarishi ikiwa ni njia mojawapo ya kuelelezea na kufikisha ujumbe kwa jamii dhidi ya uhitaji wa mchango wa jamii katika swala la maendeleo na makuzi ya mtoto.. vile utaratibu h uu unasaidia pale ambapo kifaa kinahitaji baadhi ya marekebisho mzazi huweza kumfikia fundi kwa urahisi na pengine marekebisho hayo huwa bure kama mchango wa fundi katika kumwezesha mtoto kupata elimu. Mradi hufanya tathimini ya maendeleo ya mtoto kitaaluma kwa kuwatembelea shuleni, mijadala mbalimbali hufanyika kati ya walimu na wafanyakazi wa mradi kuhusu maendeleo ya mtoto kitaaluma na kushauriana kipi kifanyike kwa ajili ya maendeleo ya mtoto husika Vilevile mahojiano na majadiliano hufanyika na wazazi au walezi wa watoto hawa ikiwa ni njia mojawapo ya kufanikisha lengo la mtoto kupata elimu na ulinzi toka kwa wazazi au walezi wake
Kwa kuzingatia umuhimu wa elimu ya awali, Mradi wa TUSOME unawawezesha watoto wadogo toka familia zinazoishi mazingira hatarishi kuanza elimu ya awali. NIHEP inaamini elimu ya awali kuwa ni msingi mzuri wa elimu katika familia na jamii kwa ujumla na maadalizi mazuri ya mtoto kuanza elimu ya msingi Kwa kushirikiana na uongozi wa kata NIHEP kupitia mradi wa TUSOME uhudhuria mijadala maalum katika uhitaji wa wa dharura katika taaluma :-kuchangia karo za sekondari pale ambapo taratibu zote wa kuonyesha kuwa kijana anahitaji mchango wa dharula ili kijana aanze kidato cha kwanza au akafanya mtihani
Mradi huu unafadhiliwa na shirika la mwembe africa r.f
|
Read is a project run by the agency alone is wisdom in the county of Butimba Nyamagana district of the region. The goal of this project is to empower children living vulnerable to pre-county basis in the Butimba . Organization through project recognizes these children read in conjunction with the leadership of the county, local and VCS committees and para socia worker in every street. With good cooperation of the committee of MVCC (most Vulnerable children comittee) family tembelwa to make the realization of children's face-to-face and talk to family planning sustainable family benefits courtyard development of current and future child / children involved. Various discussions between project officials Let us read, family and relevant committees are discussed with a view to the development of the child and his safety in general. Ward leader uses a loophole in the distribution of school supplies for children kuwaasa parents and children to be careful and monitors the development of the profession. In collaboration with school teachers involved in the project officers visited fire risk living environment in schools to evaluate the development of the individual child and listen to the suggestions and advice of teachers for the child concerned. In order to achieve the process of empowerment of school materials to study the use technicians (technicians chelehani, and shoes) involved in the community in kutengeneaza equipment children living risky if you are one of the ways described to convey a message to the community against the need for community input into the issue of development and growth of the child .. such procedure helps uu h when the device requires some adjustments technician parent can easily reach and perhaps amendment becomes free as a contribution to enable the child to get a technician in education. The project makes the evaluation of the professional development of the child to visit the school, various discussions are held between teachers and project staff about child development professional and consulting what should be done for the development of the child concerned As well as interviews and discussions are held with the parents or guardians of these children as a way of achieving the goal of the child to education and protection from the parents or guardians of
Given the importance of early education, read Project enables young children from vulnerable families living starts early education. NIHEP believes that early education is a good foundation of education in the family and society in general and good preparation of the child starts primary school In conjunction with the leadership of the county NIHEP through project read attend debates specialty in need of emergency in the profession:-sharing fees for secondary school where all the procedures to show that the boy needs a donation of relief to young to start form one or he did test This project is funded by an rf africa mango |
Translation History
|