Base (Swahili) |
English |
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ubanguaji unaofanywa na wakulima wadogo katika kijiji cha Kitama,Wilayani Tandahimba wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi katika ghala jipya za mazao wilayani Tandahimba. Kaimu Mganga mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji akimwonesha Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete gari la kubebea wagonjwa aina ya bajaj litakalotumika katika Zahanati ya Sengenya wilayani Nanyumbu jana Rais dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua korosho iliyosindikwa kwa mashine katika kiwanda cha Rift Valey Foods, wilayani Tandahimba. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha Maji ya mradi wa Makonde Water Supply katika bonde la Kitangari wilayani, Newala, mkoani Mtwara wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara. Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete na kaimu mganga mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi Zahanati ya Sengenya, iliyopo wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara Jana.Picha na Freddy Maro-IKULU    "
|
President Mrisho Kikwete Dr.Jakaya checking ubanguaji by small farmers in the village of millet, Tandahimba District during his first official visit in Mtwara. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete President laid the foundation stone in the new warehouse district Tandahimba crop. Acting District Medical Officer Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji showing Dr.Jakaya Mrisho Kikwete President's car carrying a variety of bajaj litakalotumika patients in clinic yesterday Nanyumbu district whisperers President Mrisho Kikwete dr.Jakaya processed cashew checking by machines in the factory of Rift Valey Foods, Tandahimba district. President Mrisho Kikwete Dr.Jakaya checking the source of the Makonde Water Project Water Supply Kitangari basin district, Newala, Mtwara region during his first official visit in Mtwara. President Jakaya Mrisho Kikwete Dr.Jakaya and acting district chief shaman Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji they reveal the fabric in the foundation stone marking the official launch of the abuse clinic, situated Nanyumbu district, Mtwara Jana.Picha and Freddy Maro-palace   "
|