Base (Swahili) | English |
---|---|
5}Vyanzo vya ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko? Athari ni kubwa zinazotokana na mafuriko kwani maji tunayotumia ni ya visima hivyo kutokana na kubomoka kwa vyoo maji tunayotumai siyo salama kwa matumizi ya binadamu .vilevle tuko mabondeni hivyo maji machafu yanayotoka meaneo yaliyo kwenye miinuko na majalala ya kiholela uchanganyikana na maji tunayotumia,Hivyo hatuna jinsi ukizingatia maji ni uhai kwa binadamu tunalazimika kuyatumia wakati tunajua yana mdhara makubwa kwetu kumekuwepo pia ugumu wa upatikanaji wa maji kwani visima vingi vimegeuka kuwa mashimo ya takataka 6}Kama una kazi unachukua muda gani kutoka nyumnani mpaka ofisini? Ninatumai muda mfupi kufika kazini kwani nafanya biashara ya mama lishe iliyopo karibu na maeneo haya,ni kama dakika 10 tu.
6]Kama una kazi inakuchukua muda gani kufika ofisini
|
5} The sources of water quality of what you have found traces of the floods? The impact is huge disruption and flooding as the water we use is of wells due to crumble to the toilet water we yotumai not safe for human consumption. Vilevle are valleys so the water drains coming meaneo floating on hills and dormant for arbitrarily intermixed with the water we use, so we have no way based on water is a human life we have to use when we know the impact on us, there is also the difficulty of access to water because many wells turned into garbage pits 6} If you work out how long you take at home to office? Ninatumai time to work as a mother doing business forage close to these areas, is only 10 minutes. 6] If you have how long to work inakuchukua office |
Translation History
|