Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Kuwezesha wazee kupata haki zao za msingi katika kupata matibabu bure; kuwawezesha kupata lishe bora, kuwawezesha kupata malazi yaliyo bora na vile vile kupata pensheni kwa wazee wote. |
Enabling the elderly to get their basic rights in a free treatment, to enable to get adequate nutrition to enable them to get better accommodation as well as get a pension for all elderly. |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|