Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WI000E4B5BB14B8000066576:content

Asili (Kiingereza) English
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ilemela ambayo yalimpa ushindi mbunge Highness Samson (CHADEMA) dhidi ya Anthony Diallo (CCM), itaanza kuunguruma Oktoba 17 mwaka huu (2011).

Hadi kufikia Desemba 10, mwaka jana (ikiwa ni miezi miwili baada ya uchaguzi), kesi 43 zilikuwa zimefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda za Mbeya, Dar es Salaam, Sumbawanga, Dodoma, Moshi, Tabora, Mwanza, Bukoba, Iringa, Mtwara na Arusha.

Tukutane siku ya kesi wapendwa.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe