Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Watanzania hatutaendelea kamwe endapo tutaendelea kuwa na imani potofu kwa wale wenye uwezo wa kifetha kwa kuwashutumu eti wanatumia nguvu za giza eg misukule, mama wa watu anajishugulisha kwa nguvu zake mwenyewe mara ooh wivu juu na majungu kwa sana wakati nyie mmebaki mmebweteka, endeleeni kupiga majungu tu mtabaki ombaomba tu, jishugulisheni basi ili msitamani za wenzenu. |
Tanzanians will not continue to never if we continue to have misconceptions for those capable of kifetha to charge simply use the power of darkness eg misukule, mother of the people he jishugulisha by his own strength was oh jealous about the scandal for a lot when You have left you bweteka, keep hitting the scandal only will remain only beggars, jishugulisheni then to a desire for the likes of you. |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|