Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Sisi asasi ya Chama cha viziwi tanzania (CHAVITA) tawi la (w0 kondoa tunayo maeneo mengi ya kutekeleza mradi kama kuwapatia mafunzo ya lugha ya alama kwa wazazi/walezi ili kuwepo na mfumo wa mawsiliano kwa viziw na wazazi ila kwa jamii nyingine inatudhau sana kutokana kutokupata mafunzo hayo |
We institutions of the Association of Deaf tanzania (CHAVITA) branch of (w0 Kondoa have many areas to implement the project as providing sign language training for parents / guardians to be mawsiliano system viziw for parents but for other communities due attendance inatudhau training |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|