Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Tumepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa sana kwani ni kiongozi ambaye tulifanyanaye kazi sana katika module zetu hizi za kiutamaduni. Kwa niaba ya timu nzima ya Pangani coast cultural tourism,tunatoa pole kwa familia ya marehemu na kwa Wadau wote.Tutakukumbuka sana lkn Mapenzi ya Mungu nani atapinga? Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Amen. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe