Asili (Kiswahili) | العربية |
---|---|
Ongeza Picha Zaidi |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Maoni
IPOKEE “MKUVI” ILI UFIKIE MALENGO ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE
Ndugu “MKUVI” Ni kifupi cha maneno haya;- >>Mbinu mpya ya Kupambana na Umasikini Vijijini<< MKUVI itakufanya uwe na upeo mpana katika shughuli zako za maendeleo, binafsi na Taifa kwa ujumla. Usichelewe kuvutana na mtu au watu njoo jifunze kutoka hapo ulipo nanyi wengine jifunzeni kusonga mbele zaidi hakuna atakae kuja kukununulia mahitaji au kukutunzia familia usidanganywe jifunze mbinu ya kutoka karibuni sana, “ MKUVI” jifunze na A.F.S.C. huduma zetu soma mwongozo hapo chini;-
Mradi huu nikwa wilaya Tano; 1.KILINDI. 2. MPWAPWA. 3. KONGWA. 4. KITETO. 5. KILOSA.
4 Mei, 2017 na AFSC
|