Envaya

KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI TENDAJI YA TPIF,

Kikao cha kwanza cha kamatitendaji cha tpif kimefanyika tarehe 29/3/2014, kikao hicho kilikuwa ni chamafanikio makubwa sna kwani pamoja na mambo mengine kili weza kutoka na maazimio matatu ambayo yana takiwa kufanyiwa kazi ndani ya mwezi mmoja maazimio hayo ni-;

  1. kuazishwa kwa kamati maalumu ya maandalizi ya kongamano la kitaifa la tpif linalo tarajiwa kufanyika zanziba mwezi wa nne
  2. kaandaa kamati ndogo kwa ajili ya kuvipita vyombo vya habari kwa lengo la kuitambulisha TPIf na kuchambua baadhi ya mambo muhim yanayo husiana na matukio ya nchi yetu
  3. kuandaa kamati maalum ya kushughulikia semina ya haki za binaadam kwa wanachama wote wa TPIF.

mbali na maazimio hayo taasisi hiyo sasa imekuja na mikakati mipya ya kuhakikisha kuwa ina endelea mbele na kufikia malengo yake iliyo jiwekea.

 KAMATI.pdf

March 31, 2014
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.