Envaya

UCHA GUZI MDOGO WA JIMBO LA KIEMBESAMAKI

UCHAGUZI MDOGO WA KIEMBE SAMAKI ULIOFANYIKA TAREHE 2/2/2014 ULIKUWA NI WAKUPIGIWA MFANO UCHAGUZI HUO ULIFANYIKA BAADA YA ALIYE KUWA MUWAKILISHI WA JIMBO HILO MH; MANSOUR YUSSUF HEMED KUENGULIWA UWANACHAMA WAKE BAADA YA KILE KILICHO AMINIWA KUWA ALIVUNJA KANUNU ZA CHAMA HICHO,

TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR INA STAHIKI SIFA KIASI KWA KUJITAHIDI NA JITIHADA ZAKE ZA KIMAANDALIZI ZA UCHAGUZI HIZO KWAKWELI UCHAGUZI ULIAZA KAMA ULIVYO TAKIWA NA KUMALIZA MUDA ULIOPANGWA NA MATOKEO PIA YALI TOKA KWA WAKATI,

WANA CHAMA WA CCM NAO MARA BAADA YA MATOKEO WALIINGIA BARABARANI NA KUFURAHIA USHINDI HUO ULIO KUWA SI WAKAWANI KWANI NDUGU MAHAMOUD THABIT KOMBO ALI WEZA KUSHINDA KWA 76.5% JAMBO AMBALO LILIIBUWA SHAUKU KUBWA KWA WANACHAMA HAO

TOKEA KUZALIWA  KWA TPIF SIKU YA 2/2/2014 ITAKUWANI SIKU YA KIHISTORIA KWANI NDO MARA YA KWANZA KUSHIRIKI KATIKA TUKIO MUHIMU LA KIJAMII AMBALO NI LAAINA YAKE TAASISI HIYO INA MIEZI MITATU SASA KWA ZANZIBAR LAKINI INA ELEKEA KUFANYA MAMBO MAKUBWA YATAKAYO WAFIKIA WANA JAMII MOJA KWAMOJA HII NI KUTOKANA NA TAASISI HIYO KUWA NA VIONGOZI WAKE KUWA MAKINI

 

3 Gashyantare, 2014
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

TPIF OYEEEEEEEEEEEEEEEEE.............................
3 Gashyantare, 2014

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.