Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

DIRA: TPC inataka kuona jamii yenye kutenda haki na yenye maendeleo endelevu.

DHAMIRA:  Kuwesha jamii kujua haki zao, kupambana na vikwazo vya maendeleo na kushiriki  

                 katika shughuli za maendeleo endelevu.

LENGO KUU:  Kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki za binadamu,unyanyasaji

                     wa kijinsia,ukatili dhidi ya wanawake na watoto, haki za wanawake kumiliki mali   

                      na kuelimisha jamii juu ya sheria mbalimbali.