Envaya

Kyela hatarini kwa mafuriko tena:

Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Kyela mkoani Mbeya. kuna taarifa kuwa maji yameshaanza kuingia kwenye kaya za watu.

Inasemekana kuwa baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wameshaanza kukimbia makazi yao kuelekea sehemu za mwinuko ili kunusuru maisha na kuokoa mali zao......

25 Aprili, 2015
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Toa maoni yako; ni jinsi gani jamii husika tutainusuru na janga hili?

25 Aprili, 2015 (ilihaririwa 25 Aprili, 2015)
Nouswey (Dar es Salaam) alisema:
Mungu ibariki Kyela, mungu ibariki Tanzania!
26 Aprili, 2015

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.