1.Kuunganisha watu wote wenye taaluma ya uchongaji wa Almasi na Vito kuweza kutumia taaluma yao kujitafutia kipato.
2.Kusaidia watu wasiojua/wasiotambua au kupambanua aina mbalimbali za Madini ili waweze kutambuliwa "mawe/vito/madani"wanavyovipata kwa kuokota nk.
3.Kusaidia kupata Dira ya bei kwa kuzingatia ukubwa,uzito,uboro nk.
4.Kusaidia kutafuta au kuunganisha wenye vito/madini na soko.
Mabadiliko Mapya
TANZANIA DIAMONDS AND GEMSTONES POLISHERS ASSOCIATION imejiunga na Envaya.
4 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
IRINGA, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu