Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Mipango ya kumjenga kijana

1.kumjenga kijana kiroho

2.kumjenga kijana kimwili

3.kumjenga kijana kiakili

1.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kiroho

-semina,matamasha,mafunzo kwa kutumia walimu wenye upeo,ujuzi na maarifa.

2.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kimwili

-tuna michezo ya riadha,michezo yote ya mpira,michezo ya kamba,michezo ya ubunifu na kuhakiki vijana wanapata lishe bora.

3.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kiakili

-tuna miradi na miundombinu inayoibua maendeleo kwa kuwatumia vijana tuliokuwanao

-tunatoa elimu mashuleni s/m,sec,vyuo na taasisi mbalimbali

-tuna miradi ya kusaidia jamii katika:-mazigira,afya,elimu,majanga na maafa