- Kuyaleta pamoja makundi ya wamama wajane na watoto waishio katika mazingira magumu na hatariishi
- Kushughurikia matatizo yanayowakuta wamama wajane na wasiojiweza katika maisha ya sasa na waishio na virusi vya ukimwi na ukimwi
- Kusimamia na kuratibu shughuri zote ziwakutazo watoto waishio katika mazingira hatarishi na kuwasaidia wajitambue katika yale yawahusuyo
Mabadiliko Mapya
TANZANIA SUPPORT FOR WIDOWS AND ORPHANS ORGANIZATION (taswo) imejiunga na Envaya.
29 Agosti, 2011
Sekta
Sehemu
BUNJU OFISI YA SERIKALI YA MTAA, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu