Fungua
Tanzania Rehabilitation Organization

Tanzania Rehabilitation Organization

Dodoma City, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

"BE OUR PARTNER""

Tanzania Rehabilitation Organization
22 Mei, 2012 14:16 EAT (ilihaririwa 22 Juni, 2012 12:52 EAT)

Tareo inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa ingependa kupata washiriki wa maendeleo ambao wako tayari kusaidiana na shirika kwa ajili ya kusaidia vijana na watu mbalimbali wenye shida.

 

Kwa mawasaliano zaidi, tembelea tovuti yetu..www.envaya.org/tareo

 

Tareo wish to announce to all people who want/need to bless others and inturn. We need partners around the world.

For anyone who interested and find a channel toward helping the indigenous, please do not hesitate to communicate with us, find us via www.envaya.org/tareo

 

Thanks.

PETER.T.S

C.E.O-TAREO

TANZANIA


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki