MKURUGENZI WA TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI NDG. SAIDI NG'ONYE JOHN ni msimamizi mkuu wa Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI. Hapa kuna Taarifa ya Utekelezaji ya Robo mwaka iliyopita ya Miezi ya Januari hadi Machi kwa Kata za Malatu na Mchemo Wilaya ya Newala.
Taarifa inayotolewa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society.
30 Kamena, 2011