Envaya
The african hope community organization
Majadiliano
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza.
Hariri tafsiri
Je ni sababu gani kubwa inayosababisha kuongezeka kwa watoto wa mitaani?
Ndugu wapendwa wenye moyo wa kujitolea na kujaribu kupambana na jambo la watoto wa mitaani,mnadhani ni jambo gani ambalo linafanya kuongezeka siku hadi siku idadi kubwa ya watoto wa mitaani?na tunafanya nini kupunguza ama kutokomeza jambo...
18 Septemba, 2014 na The african hope community organization
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya