-Kuleta kazi bora zenye tija.
-Kuhamasisha wafanyakazi kufanya kazi katika mazingira bora ya kazi.
-Kuhamasisha wafanyakazi kufanya kazi zenye kujari utu wa binadamu(human dignity)
-Kuamasisha wafanya kazi kuwa na sauti ya pamoja(freedom of association)
Mabadiliko Mapya
TANZANIA DECENT WORK ASSOCIATION(TADWA) imejiunga na Envaya.
21 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
K/KOO,ILALA, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu