Envaya

masista wa Moyo SAFI WA MARIA mbele ya kanisa

watoto wanacheza ngoma ya asili

wwatoto wana fua nguo zao siku ya usafi jumamosi

Walezi wa watoto wana sali mbele ya kaburi la Mwalimu Nyerere

watoto wamelizunguka kaburi la Mwalimu NYERERE

wamepumzika baada ya kutembelea kila sehemu

watoto wako ziara Butiama kwa mwalimu Nyerere wanasikiliza maelezo mbele ya makaburi

wameisha chinja tayari wote wanafuraha tu