Envaya

Kuwatambua na Kuwaunganisha watu waishio na VVU/UKIMWI nchini ili waweze kuweka kwa pamoja uzoefu na ujuzi wao wa masuala yatokanayo na kuathiriwa na VVU/UKIMWI.

Mabadiliko Mapya
Mtandao wa Kitaifa kwa maendeleo ya Afya, huduma na uegemezi wa watu waisio na VVU (SHDEPHA+) imejiunga na Envaya.
28 Februari, 2011
Sekta
Sehemu
NEWALA, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu