SECRA ni Asasi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na utoaji wa elimu juu ya uharibifu wa mazingira katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba, ikiwemo kupanda miti na kutunza mazingira ili kuvutia watalii.
Pia kutoa elimu juu ya madhara yatokanayo na wanyama pori ikiwa ni uharibifu wa mashamba, ulemavu wa kudumu na vifo kwa wanavijiji wanaozunguka maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba.
Sekta
Sehemu
Serengeti, Mara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Mabadiliko Mapya
SERENGETI ENVIRONMENTAL CONSERVATION AND RELIEF AGENCY imejiunga na Envaya.
11 Machi, 2015