FCS Narrative Report
Utangulizi
Sakale Development Foundation
SADEF
Kuwajengea uwezo viongozi na wanachama
Fcs/RSG/03/09/115
Tarehe: 5,Desemba-2010 hadi february 2011 | Kipindi cha Robo mwaka: 1 |
Alex Mbwilo
sakale Development Foundation,
P.O. Box 96,
Muheza-Tanga
sakale Development Foundation,
P.O. Box 96,
Muheza-Tanga
Maelezo ya Mradi
Uimarishaji Asasi za Kiraia
Mradi huu ulilenga katika kuimarisha uwezo wa utendaji wa wanachama pamoja na viongozi ili kuimarisha shughuli za asasi hii katika kuhudumia jamii. Katika mradi huu wanachama walijifunza jinsi ya kutimiza majukumu yao na pia namna ya kubuni na kutekeleza miradi ya asasi.
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Tanga | Muheza | Mbomole | Sakale | 20 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 12 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 8 | (Hakuna jibu) |
Jumla | 20 | (Hakuna jibu) |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
1.1 Kuongezeka kwa uwezo katika usimamizi na utunzaji wa fedha miongoni mwa viongozi na wanachama wa asasi
1.2 Kuongezeka kwa uelewa katika uandaaji nausimamizi wa miradi miongoni mwa wanachama wa SADEF
1.3 Kuwepo kwa kanuni na taratibu zilizo wazi za uendeshaji wa asasi.
1.4 Gharama za utawala na uendeshaji wa ofisi

1.1.1 Kutoa mafunzo kuhusu utunzaji na usimamizi wa fedha kwa viongozi na wanachama wa asasi kwa muda wa siku 2.
1.1.2 Wanachama 20 wa SADEF kutengeneza miongozo ya asasi
1.1.3 wanachama 20 wa SADEF kupitia na kupitisha miongozo ya asasi
1.2.1 Kutoa magunzo ya upangaji na usimamizi wa miradi kwa wanachama 20 wa SADEF kwa muda wa siku 2.
1.2.2 Kufanya mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathimini kwa wanachama 20 wa SADEF kwa muda wa siku 1
1.3.1 kufanya mafunzo juu ya mifumo ya uendeshaji wa asasi kwa muda wa siku 1
1.3.2 Kutengeneza mpango mkakati wa asasi kwa kushirikiana na wataalam kwa muda wa siku2
1.3.3. Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya shughuli za mradi kwa muda wa siku1
1.4.1 Kununua vifaa vya ofisi pamoja na Digital camera

1. wanachama 20 wa SADEFwamepata mafunzo juu ya utunzaji wa fedha.
1.1 wanachama wa SADEf wameandaa kanuni za fedha kwa ajili ya asasi yao.
1.2 wanachama wa SADEF wametambua kwamba ili kudhibiti fedha katika asasi ni lazima kuwa na kanuni zilizo wazi katika mapato na matumizi.
1.2 Wanachama 20 wa SADEF kwa kushirikiana na wataalam wametengeneza miongozo ya asasi
1.2.1wanachama wa SADEF wametengeneza mwongozo wa mgawanyo wa majukumu katika asasi.
1.2.2 wanachama wa SADEF wametambua kwamba kufanya kazi kwa kuzingatia mgawanyo kunachangia mafanikio
1.3.1 Wanachama 20 wa SADEFwamepitia mwongozo wa fedha. mgawanyo wa majukum.
1.3,2 wanachama wa SADEF wamepitisha miongozo ya fedha na mgawanyo wa majukumu katika asasi
1.3.3 wanachama wa SADEF wametambua kwamba kufanya kazi kwa kuzingatia majukumu na kuheshimu taratibu mbalimbali katika asasi kunachangia katika maendeleo ya asasi
1.2.1wanachama 20 wa SADEF wamepata mbinu za jinsi ya kubuni na kusimamia utekelezaji wa miradiya asasi
1.2.2 Kila mwanachama wa SADEF ameshiki kikamilifu katika kuandaa mradi ambao umepelekwa ofisi ya rais sekretariet ya maadili ya viongozi wa umma.
1.2.3.Kabla ya mafunzo miradi katika asasi ilikuwa inaandaliwa na watu wawili, lakini baada ya mafunzo wanachama wote wameanza kuchangia wakati wa kuandaa miradi

Mafunzo haya yalipaswa kutolewa mwezi march 2010 yametolewa desemba 2010 kutokana na mfadhili kuchelewa kuto ruzuku
1.1.1 Kutoa mafunzo kuhusu utunzaji na usimamizi wa fedha kwa viongozi n wanachama kwa muda wa siku 2 tumetumia Tsh 999,000.00
1.1.2wanachama 20 kutengeneza miongozo ya asasi na kuipia na kuipitishat umetumia Tsh 319,000.00
1.2.1kutoa mafunzo ya upangaji na usimamizi wa miradi kwa wanachama 20 wa SADEF kwa siku2 tumetumia Tsh 624,000.00
1.2.2 Kufanya mafunzo juu ya ufuatiliaji na tathimini kwa wanachma 20 kwa muda wa siku 1 tumetumia Tsh 324,000.00
1.3.1 Kufanya mafunzo juu ya mifumo ya uendeshaji wa asasikwa muda wa siku 1 tumetumia Tsh 624,000.00
1.3,2 Kutengeneza mpango mkakati wa asasi kw akushirikiana na watalaamkwa muda wa siku 2 Tumetumia Tsh. 624,000.00
1.3.3 Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya shughuli za mradi kwa siku 1 tumetumia Tsh,104,000.00
1.4.1 kununua vifaa vya ofisi tumetumia Tsh.1,100,500.00

Mafanikio au Matunda ya Mradi
1.1 Kuongezeka kwa uelewa na uwezo katika usimamizi na utunzaji wa fedha miongoni mwa viongozi na wanachama wa asasi [ SADEF]
1.2 Kuongezeka kwa uelewa katika uandaaji na usimamizi wa miradi miongoni mwa wanachama
1.3 Kuwepo kwa kanuni na taratibu zilizo wazi za uendeshaji wa asasi.
1.4 Gharama za utawala na uendeshaji

-wanachama 20 wa SADEF wamepata mafunzo juu ya utunzaji wa fedha
-Wanachama 20 wa SADEF kwa kushirikiana na watalaam wametengeneza miongozo ya Asasi
-wanachama 20 wa SADE wameandaa kanuni za fedha kwa ajili ya Asasi yao
-Wanachama 20 wa SADEFwametambuaa kwamba ili kudhibiti fedha za asasi ni lazima kuwa na kanuni zilizo wazi katika mapato na matumizi
-wanachama wa SADEF wametengeneza mwongozo wa mgawanyo wa majukumu katika asasi.
-wanachama wa SADEF wametabua kwamba kufanya kazi kwa kuzingatia mgawanyo wa majukumu kunaongeza mafanikio
-Wanachama 20 wa SADEF wamepitia muongozo wa fedha, mgawanyo wa majukumu.
-wanachama wa SADEF wamepitisha miongozo ya fedha. mgawanyo wa kazi
-Wanachama wa SADEFwametambua kwamba kuzingatia mgawanyo wa majukumu na kuheshimu taratibu mbambali katika asasi kunachangia katika maendeleo ya asasi.
-Wanachama 20 wa SADE wamepata mbinu mbalimbali za jinsi ya kubuni na kusimamia utekelezaji wa miradi ya asasi
Kila mwanachama wa SADef ameshiriki katika kuandaa mradi ambao tumeupeleka katika ofisi ya rais , sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma
-Kabla ya mafunzo miradi ilikuwa inaandikwa na watu 2, lakini baada ya mafunzo wanachama wote wameanza kuchangia wakati wa kuandaa miradi
-Wanachama 20 wa SADEF wameelewa mfumo wa kufanya ufuatiliaji na tathimini katika shughuli mbalimbali za asasi
-Wanachama wa SADEF wamebuni na kutengeneza zana mbalimbali za kutumia katika kufanya ufuatiliaji na tathimini kwa miradi mbalimbali
-Wanachama wa SADEF wametumia zana walizobuni katika kufanya ufuatiliaji na tathimini za miradi katika vijiji
-Wanachama 20 wa SADEFwameelewa kanuni na taratibu za kuendesha asasi
-wanachama wa SADEF wameandaana kutengeneza kanuni za kazi katika asasi
-Wanachama wa SADEF wameanza kufanya kazi kwa kuzingatia mgawanyo kwa mujibu wa kanuni za kazi za asasi
-Wanachama 20 wa SADE wameelewa juu ya mpango mkakati na wametengeneza mpango mkakati wa asasi
-Wanachama wa SADEF kwa kushirikiana na watalaam wametengeneza mpango mkakati wa SADEF2011-2015
-wanachama wa SADEF wanaamini kufanya kazi kimpango mkakati kutaleta tija katika asasi
-Wanachama20 wa SADEF wamefanya ufuatiiaji na tathimini ya mradi na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa mradi
-wanachama wa SADEF wamebaini kuwa mafunzo waliyopata yamewawezesha kutambua mambo muhimu katika kuendesha asasi
-Mwanachama wa SADEF sasa anatambua nafasi yake katika kutumikia asasi
-SADEF kwa ufadhili wa the Foundation for civil society tumenunua Komputer, printer, digital camera na karatasi ream1
-SADEF sasa badala ya kupeleka kazi zetu zikachapwe kwenye stationary za watu tunachapa wenyewe katika ofisi zetu
-Uchapaji wa kazi mbalimbali za asasi unafanyika katika ofisi zetu

Idadi ya wanachama wanao jihusisha na shughuli za asasi sasa imeongezeka tofauti na kabla ya kutekeleza mradi huu.
(Hakuna jibu)
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Ili asasi iweze kufanya vizuri katika shughuli zake mshikamano miongoni mwa viongozi na wanachama ni jambo la lazima |
Asasi ni chombo hai, uhai wake hutoweka ikiwa hakuna mfumo ndani ya asasi ambao unachochea kukua kwake, hii inamaanisha kwamba kusipokuwepo na mifumo iliyowazi kiutendaji\ uwajibikaji |
Asasi inatakiwa kubuni na kuanzisha miradi ambayo itaingiza fedha kuliko kutegemea wafadhili pekee, kwani kutegemea wafadhili kwakila jambo ni hatari kwa ustawi na uhai wa asasi |
Asasi ili ikubalike kwa jamii inapswa kuwa wazi kwa wadau mbalimbali kwani uwazi huo utasababisha kufahamika kwa mafanikio na matatizo yanayoikabili asasi na kwamba katika hali hiyo hatua za kutatua matatizo na au kufaidi matunda ya shughuli za asasi kuhusisha jamii nzima. |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Wawezeshaji walitutaka tupunguze mada za mafunzo kwa kuwa muda tulio panga haulingani na mada za mafunzo, mfano'Mpango mkakati ni somo linalo hitaji kushughulikiwa angalau kwa siku nne' | tuliwaomba wajitahidi kutumia muda uliopangwa kwa kuwa hatuna uwezo wa kuwalipa ikiwa siku za mafunzo zitaongezeka[ wlituelewa wakafanya kazi kwa kadri ya mpango wetu] |
Wawezeshaji walilalamikia viwango vya malipo yao, kwamba ni fedha kidogo sanana tunawalipa | Tuliwaeleza kuwa tunajuwa kuwa ni fedha kiasi, lakini hatuna uwezo wa kuwalipa zaidi ya hizokwani mfadhili ametoa hizo, na tuliwaomba watusaidie kwa kuwa bado sisi ni asasi changa, tukawaonesha na bajeti ya mradi. Walikubali na wasema kwamba wataendelea kutusaidia ;paka hapo tutakapoonesha kuwa tume komaa. |
Wawezeshaji walilalamika kwamba hatujawalipa gharama za usafiri kutoka Dar-es-salaam hadi Sakale na kurudi Dar-es-salaam | Tuliwaomba watuvumilie kwa kuwa suala la gharama za usafiri kwa wawezeshaji hatukuliweka katika bajeti na kwa hivyo mfadhili ametoa kiasi kilichooneshwa katika bajeti ya mradi.[ waliridhika lakini wakasizitiza kwamba wakati mwingine tuwe makini katika swala hili. |
Muda wa mafunzo ulikuwamfupi ukilinganisha na mahitaji, jambo ambalo limefanya baadhi ya mada kutokaa sawa kwa baadhi ya wanachama\ washiriki | Tumekubaliana kwa kuwa kuna baadhi ya wanachama wameelewa vizuri mafunzo na pia pia tumepatiwa vitini. kazi ya kufundishana zaidi tutaendelea kuifanya katika asasi. |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Afisamtendajiwa serikali ya kijiji cha Sakale | Kwakuwa yeye ndiye aliyetuandikia barua ya utambulisho kwenda kwa shirika laThe Foundation for civil society ilikuwa nilazima tumfahamishe kinacho endelea kutokana nabarua aliyoindika. Kwamba FCS wametupatia fedha kwa ajili ya shughul imaalum kama tulivyoomba,na sasa tunatekeleza shughuli hiyo. |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Mradi wetu ulikwa wa robo1, kwa hiyo hakuna shaghuli zingine. |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 1 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 1 | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | 4 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 3 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 7 | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 7 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 5 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 12 | (Hakuna jibu) |
(Hakuna jibu)
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Tamasha la nane la monesho ya azaki za kirai | may 2010 | Tulijifunza na kuona jinsi asasi mbalimbali zinavyo fanya kazi ,lakini pia tulijua wajibu/majukumu ya asasi za kiraia katika kukuza demokrasia | Katika uchaguzi mkuu wa 2010 kwa kushirikiana na shirika ForDIA tulishiriki katika mradi wa RAIA MAKINI 2010; ambapo tulitoa elimu kwa mpiga kura katika wilaya 5 za mkoa wa Tanga ambazo ni:- Korogwe,Muheza, Mkinga,Tanga mjini na Lushoto |
Mafunzo juu ya kusimamia ruzuku yaliyoendeshwa mjini Dar-es-salaam[ Belinda Hotel] | Desemba 2008 | -Namna ya kubuni miradi - Kutunza kumbukumbu za fedha - kufanya ufuatiliaji na tathimini -kuandaa taarifa ya utekelezaji wa mradi | Tumekuwa tukitumia maarifa tuliyo yapata kuandika miradi na kuituma kwa wafadhili mbalimbali ambapo baadhi imefanikiwa kupata ufadhili. |
Mafunzo juu ya kusimamia ruzuku za miradi yaliyo fanyika Dodoma Hotel | February 2010 | ------------//---------------- | -----------//-------------- |
Viambatanisho
(Hakuna jibu)