Envaya
sikiliza radio qiblaten iringa.

Sikiliza kipindi cha meza ya Utafiti kila siku za jumamosi na jumapili kuazia saa 2:40 za usiku na maruido yake ni jumapili na jumatatu saa 1:15 asubuhi.

Pata Mawaidha ya dini ya Kiislam naa kuifamu dini yako ukiwa nyumbani kwako,sikikiliza Qiblatein fm Iringa.

Sikiliza Radio Qiblaten Fm 103.6Mhz ukiwa mkoani Iringa,Dodoma na baadhi ya vijiji vya Mbeya.