Pichani, Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2010, akitoa hotuba katika ufunguzi wa Zahati katika Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha- Pwani-DPA ilitumia fursa hii kutoa elim u kwa jamii kuhusu umuhimu wa Matumizi ya Vyandarua vyenye viatilifu ikiwa ni moja ya Mbinu za Kujikinga na Ugonjwa wa Malaria kwa Wanawake Wajawazito na Watoto chini ya Miaka mitano, Kupitia maradi wa COMMIT unaotekelezwa kwa ushirikiano wa CVM/APA na PSI-Tanzania.
25 Machi, 2011