Mwezeshaji Kiongozi wa Warsha Bw. Hamisi Kellenge Masasa, akishirikisha washiriki wa Warsha kuhusu umuhimu wa Mipango shiriki jamii katika asasi za Kiraia na Uendelevu wa Miradi wakati wa mchakato wa Kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka mitano (5) ya Pwani-DPA,
25 Machi, 2011