Envaya

PEACEVISION ORGANIZATION

FCS Narrative Report

FCS Narrative Report

Utangulizi

PEACEVISION ORGANIZATION
PVO
MRADI WA KUIMARISHA UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI WA ASASI
FCS / RSG /3/11/227
Tarehe: APR 2012Kipindi cha Robo mwaka: JJUNE 30 2012
JINA: . AMON WILLIAM
MAWASILIANO: P.O.BOX 321
SIMU YA KIGANJANI . +255 656792279
BARUA PEPE: peacevision44@yahoo.com

Maelezo ya Mradi

Utawala Bora na Uwajibikaji
Ili kuhakikisha mradi wetu unakidhi malengo ya eneo muhimu tulilochagua hapo juu, tuliendesha mafunzo ya siku 2 ya Uongozi na utawala bora kwa viongozi na wanachama. Mafunzo ya usimamizi wa fedhakwa siku 1. Kuandaa miongozo ya fedha za asasi. Kuandaa, kupitia Mpango Mkakati na kufanya kiako cha siku 1 cha ufuatiliaji na tathimini ya mradi kwa jumla ya walengwa halisi wa mradi ni 25 wakiwemo wanaume 12 na wanawake 13

Lengo kuu la mradi wetu ni kuimarisha uongozi na utawala bora kwa viongozi wa PEACE VISION na wanachama wake Ili kuhakikisha asasi na wanachama wake inaongozwa na kuendeshwa kwa uwazi na ufanisi na viongozi wanaojiamini na wenye uwezo mkubwa wa utendaji wa kazi zao za kila siku wakizingatia na kufuata misingi mikuu ya utawala bora na demokrasia ili kuongeza tija, uwajibikaji ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kusimamia na kudhibiti rasilimali za asasi. Aidha kuwepo kwa Mpango mkakati kutasaidia asasi kutimiza malengo yake kwa kufanya shughuli zake kwa ufanisi na muda maalumu. Kupata wafadhiliwa ndani na aje ni mojawapo ya faida ya uwepo wa mkakati unaotekelezeka.

Mradi huu utachangia moja kwa moja katika moja ya malengo ya serikali juu ya mapambano ya UKIMWI kuwa” Tanzania bila UKUMWI inawezekana!, Haki ya Mtoto Tuitetee! na ile ya taifa ya milenia ya kuwa na utawala bora na uwajibikaji nchini kwa kuwa na viongozi wanaowajibika kwa lengo la kudumisha amani,heshima, uaminifu, usawa, uhusishwaji na ushirikishwaji, kwa lengo la kumkomboa mnyonge masikini ,ambayo ndio misingi ya uongozi na utawala bora.
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
KilimanjaroSAMESOKONISOKONI25
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake13(Hakuna jibu)
Wanaume12(Hakuna jibu)
Jumla25(Hakuna jibu)

Shughuli na Matokeo ya Mradi

1.1 Kuimarika kwa ufanisi wa asasi kwa kuzingatia Utawala bora, na Mpango Mkakati wa asasi kuzingatia Utawala bora kutoka 20% hadi 60% ifikapo Machi, 2012



2.1 Kuimarika kwa usimamizi wa fedha za asasi kwa viongozi na wanachama ifikapo Machi 2012

1.1 Mafunzo ya utawala bora wanachama 25 kwa siku 2 ifikapo Machi 2012 .















1.1.2 Kufanya mafunzo ya siku moja kuandaa na mapitio ya Mpango mkakati.
1.1.3 Kufanya mikutano na jamii ya Same katika kata ya Majevu, Stesheni, Kandoto na Majengo.
2.1.1 Kufanya mafunzo ya usimamizi wa fedha kwa wanachama 25 kwa siku 1 ifikapo Machi 2012.







2.1.2 Kuandaa miongozi ya fedha kwa asasi kwa mafinzo siku 1 kwa wanachama na viongozi 25
4.1 Ufuatiliaji na Tahimini ya mwisho wa mradi
-Kufanyika kwa mafunzo ya utawala borasiku 2,
- Ukumbi wa KLPU, watu 25 wanachama na viongozi wa asasi tarehe 10April Hadi 11 April 2012
-Kuwepo kwa uelewa wa wa utawala bora na usimamizi wa shughuli za asasi.
Kufanya mafunzo ya siku 1 ya kuandaa mipango mkakati tarehe 10 may 2012
Ukumbi wa KLPU . Washiriki ni wadau mbalimbali, wanachama na viongozi 35



Mafuzo yaliendeshwa kwa jamii watu 88 katika Ukumbi wa KLPU kuanzia tar.11 MAY…Hadi. 12MAY …….. 2012
Wanachama 25 wana uelewa wa usimamizi wa fedha.
Mafunzo yaliyofanyika Ukumbi wa KLPU tareh13Apr .2012.
Wanachama na viongozi 25 siku 1



Asasi haikuwa na muongozo ya fedha hivyo iliandaliwa na mtaalamu na kwasilishwa tarehe 12Apr 2012
Kupitia na kuhakiki mwongozo na kusaini kwa wanachama na viongozi 25 katika Ukumbi wa KLPU
Ulifanywa na viongozi na wadau wachache na kamati tendaji ya PEACE VISION pamoja na wanachama wachache tarehe 15 May 2012 katika Ukumbi wa KLPU
KILA SHUGHULI ILIFANYIKA KAMA ILIVYOPANGWA

1.1 Mafunzo ya utawala bora wanachama 25 kwa siku 2 ifikapo Machi 2012 .
1,433,500/=,1.1.2 Kufanya mafunzo ya siku moja kuandaa na mapitio ya Mpango mkakati.993,600/=,1.1.3 Kufanya mikutano na jamii ya Same katika kata ya Majevu, Stesheni, Kandoto na Majengo.1,302,800/=,2.1.1 Kufanya mafunzo ya usimamizi wa fedha kwa wanachama 25 kwa siku 1 ifikapo Machi 2012.800,000/=,2.1.2 Kuandaa miongozi ya fedha kwa asasi kwa mafinzo siku 1 kwa wanachama na viongozi 25690,000/=,4.1 Ufuatiliaji na Tahimini ya mwisho wa mradi398, 700/=,Ununuzi wa computer
( Lap - top)

Posho ya mratibu na mweka hazina
Uchapaji wa vitabu vya fedha za asasi1,880,600/-.




Mafanikio au Matunda ya Mradi

.1 Kuimarika kwa ufanisi wa asasi kwa kuzingatia Utawala bora, na Mpango Mkakati wa asasi kuzingatia Utawala bora kutoka 20% hadi 60% ifikapo Machi, 2012



2.1 Kuimarika kwa usimamizi wa fedha za asasi kwa viongozi na wanachama ifikapo Machi 2012
1.Kumekuwa na mshikamano miongoni mwa viongozi, wanachama na jamii baada ya mawasiliano yaliyokuwa hayapo na sasa yapo.
2.Ulewa wa wanachama kuhusu utawala bora na usimamizi wa shughuli za asasi kwa wanachama 25 umeongezeka .
3.Pia migogoro kupungua.
4. Uhusishwaji na1.ushirikishwaji wa wanachama kwenye vikao mbalimbali vya kikatiba sasa unafanyika.



2.2. Taarifa za mapato na matumizi ya fedha za asasi sasa zinasomwa kwenye vikao husika.
2.3 Kuwepo kwa mfumo na taratibu za uwekaji wa hesabu za asasi

.

2.3. Rasimu ya Mpango Mkakati wa miaka 3 umekuwepo sasa.

1.Ushirikiano baina ya viongozi wa asasi , wadau na Viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali umeimarika kutokana na kuwashirikisha katika utekelezaji wa mradi huu.
2.Wananchi kuwa na uwezo wa kuhoji matumizi na mapato ya rasilimali kwa maendeleo yao
3.Asasi ya PEACE VISION ambapo hapo awali ulikuwa haujulikani sana na viongozi wengi sasa unajulikana na wanatambua uwepo wake.








Uwezo wa kufanya manunuzi kwa kufuata mwongozo wa manunuzi.

Udhibiti wa matumizi ya fedha za asasi




Asasi sasa inao uwezo wa kuandika michanganuo kwa wafadhili mbalimbali wadani na nje
Hakuna sababu zozote za tofauti ya mabadiliko bali mabadiliko haya chanya yamekuja kama yalivyopangwa baada ya viongozi na baadhi ya wanachama kupata mafunzo ya uongozi na utawala bora

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
1.
Utawala bora kumbe ndiyo msingi mkuu wa kuwakomboa wanyonge kwa kuwa unaleta uwepo wa amani, uvumilivu afya njema kwa maendeloo ya mtu binafsi,asasi na taifa zima.
Ili kuwa na ufanisi mkubwa ndani ya asasi haitoshi kuwa na miongozo wa fedha na Mpango mkakati peke yake bali kuna haja ya kuwa na viongozi waadilifu na wenye uwezo kitaaluma kuendesha asasi na kutafuta wafadhili wa ndani na nje.
Kutokuwa na mpango mkakati awali kumeiifanya asasi kwenda bila mwelekeo mzuri kwani mpango mkakati huwa ndiyo dira kuu inayoonyesha mpangilio wa shughuli za asasi.
-
-
-

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Kuchelewa kupata ruzuku kwa wakati kulisababisha makisio yetu kuwa yamepitwa na wakati hivyo kujikuta vitu vingi vimepanda bei kuliko zile tulizokuwa tumekadiria wakati wa kuandika andiko la mradi
Pale ilipobidi PEACE VISION kutoka kwenye mapato yake mengine ililazimika kuchangia ili kukamilisha shughuli iliyokusudiwa ikiwemo kubana matumizi ilipobidi
Kutokana na baadhi ya wanachama kutoka mbali na mjini Same usafiri wao ulikuwa mgumu kufika kwa wakati katika mafunzo kwa muda uliopangwa, washiriki walikuwa wakichelewa kufika kwa muda tuliopanga.
Tulilazimika kubadili Ratiba mara kwa mara kwa kusogeza mbele saa ya kuanza na ya kumaliza mafunzo pale ilipobidi ili kuweza kukamilisha yale yote yaliyokuwa yamepangwa kufundishwa kwa siku husika.
Bajeti kwa ajili ya washiriki ilikuwa ndogo kulingana na hali halisi kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha ambayo ilipelekea washiriki kulalamika kutokana na hali ilivyo kwas asa.
Tulikabiliana nayo kwa uongozi kuwaeleza na kuwaomba washiriki kuwa na moyo wa kujitolea na kuyathamini mafunzo kwa kuwa mafunzo haya yalikua muhimu kwao binafsi na kwa mstakabali wa kazi zao na za asasi

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Viongozi wa serikali za mitaa ,Afisa maendeleo jamii na Mratibu wa Ukimwi wilaya Same.
Tuliwashirikisha siku ya ufunguzi na ufungaji wa mafunzo na Afisa Maendeleo Wilaya Same Ndg. A. Kimamba alikuwa mgeni rasimi katika hafla nzima, pia tulichukua fursa hii kuutambulisha mradi kwa viongozi wa serikali ambao alikuwa amefuatana nao.
Asasi ya COMPASIONWalitoa mwakilishi na alishiriki mafunzo na kuchangia mawazo katika kuandaa Mpango Mkakati huu
LISA – Life Skills Association of Facilitators
Uwezeshaji Utawala bora, usimamizi wa fedham Mpango Mkakati na kuandaa miongozo ya fedha.
Hamashauri wilaya Same, Idara ya MipangoUshiriki katika kupata takwimu zawilaya ktk Mpango Mkakati na kuandaa mpango huo wa miaka 3

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Mradi wetu ulikuwa ni wa robo moja hivyo hakukuwa na shughuli zilizobaki kwa ajili ya robo inayofuata isipokuwa shughuli za ufuatiliaji wa matokeo ya muda mrefu zitaendelea. Hata hivyo pamoja na hayo ilikubalika kwamba kwa kuwa hili tumekamilisha, mara baada ya The foundation kuridhia kufunga mradi huu, tupeleke maombi ya kuomba ufadhili wa The Foundation bada ya kuibua mradi wa Ukatili wa kijinsia wa Watoto . Jamii na watoto haki ya kuijua sheria na 21. ya mwaka 2009


Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake13(Hakuna jibu)
Wanaume12(Hakuna jibu)
Jumla25(Hakuna jibu)
(Hakuna jibu)

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
1. Mafunzo ya Usimmizi wa Ruzuku (Manage Your Grant)

19th-23rd Dec 2011Kusimamia miradi,
-Bao mantiki,
-Utunzaji wa vitabu vya mahesabu
-Jjinsi ya kuandaa ripoti ya fedha na ya utekelezaji.
 TULIINGI Mkataba na FCS na kupatiwa Ruzuku ndogo ya kutekeleza mradi kwa kipindi cha miezi 3 inayohusiana na riporti hii.
1.Utunishaji miradi
19th-23rd March2012 
Jinsi ya kuandika miradi
Kuandika Proposals mbalimbali.
1.Midia engagement
 
7th-8th May 2012  Jinsi ya kuwasiliana na kushikiana na vyombo vya habari
 
 
Tuvitumie vyombo vya habari katika kutangaza kazi za asasi zeu naa za jamii
 
 

Viambatanisho

(Hakuna jibu)

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.