Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Mkurugenzi mtendaji Mr Adam Robert-kitaaluma ni mwanasheria(aliesimama)akiwa katika mdahalo wa musuada wa katiba akiwasilisha mapendekezo ya AZAKi -kwa wananchi Jijini Mwanza-
Comments (0)
waandishi wa habari wakichukua maoni ya wananchi wakati wa mdahalo-wa musuada wa katiba-Jijini Mwanza
baadhi ya wadau wakimsiliza Mkurugenzi wa PRLA wakati wa mdahalo wa mchakato wa musuada wa katiba -Jijini Mwanza