Parts of this page are in Swahili. Edit translations
JUMUIYA YA PRADO ILIANZISHWA MWAKA 2007 NA KUSAJILIWA RASMI NA SERIKALI CHINI YA SHERIA YA USAJILI WA ASASI ZA KIRAIA YA MWAKA 1995 SOCIETIES ACT N0 6 OF 1995 NA KUPEWA HATI YA USAJILI No 623 YA MWAKA 2008
JUMUIYA ILIANZA NA WANACHAMA 16 WAKIWA WANAWAKE 4 NA WANAUME 12
JUMUIYA KWA SASA INA WANACHAMA HAI 35 KATI YA HAO WANAWAKE NI 14