Katika hali ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya na yenye kukidhi haja kwa Watanzania walio wengi tunahitaji kushirikishwa kwa kila hatua ya maamuzi inapotoka au kabla ya kutekelezwa ili ushiriki wetu uwepo.
Jee hali inavyokwenda inawashirikisha Watanzania walio wengi?
September 25, 2014