PDPR Hakika Mkombozi Wetu
Daniel Kalekwa (Kishapu Shinyanga)12 Gicurasi, 2017 at 19:51 EAT
Nawapongeza kwa jitihada zenu na mikakati mbali mbali muitoayo kwa jamii ili kuondokana na kupunguza kasi kubwa ya umasikini, rai yangu ni kuwahtaji muongeze wigo wenu ili hata mkulima asiye na simu na umeme yaani ya vjiji vya mbali apate hata vpeperushi na matangazo yenu.