Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA

MZALENDO CHILD CARE & NURSERY SCHOOL KIBENA NJOMBE (NJOMBE)
10 Gashyantare, 2017 at 07:01 EAT

HIVI KUNA UTOFAUTI GANI KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA?

 

AHADI MWAKANIEMBA (SINGIDA)
16 Gicurasi, 2019 at 22:52 EAT

Mfanya biashara ni mtu anayenunua bidhaa au huduma kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa ili apate faida kutokana na fedha aliyowekeza kama mtaji. wakati Mjasiliamalia ni mtu jasiri anayetafuta fursa na kuwekeza mtaji wake katika kuzalisha bidhaa au huduma ili kukidhi na kutatua mahitaji ya watu.


Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro