Mfanya biashara ni mtu anayenunua bidhaa au huduma kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa ili apate faida kutokana na fedha aliyowekeza kama mtaji. wakati Mjasiliamalia ni mtu jasiri anayetafuta fursa na kuwekeza mtaji wake katika kuzalisha bidhaa au huduma ili kukidhi na kutatua mahitaji ya watu.