Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Asasi ya PDPR imezindua mradi wake wa kutoa mikopo na kuuza vifaa vya ufugaji kuku na kilimo kama Vitotozi vya mayai, Mizinga ya Nyuki, Vifaranga vya kuku, samaki, kware, Biogas plant, Mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, ufugaji, kilimo na kuuza vitabu mbali mbali kwa TSH: 2000/= tu Piga 0754397178  au 0652556833kwa maelezo zaidi. pia wanatafuta mawakala wa bidhaa zao.

16 Februari, 2015
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (11)

NEW VISION GROUP( muono mpya) (Mwanza, Nyamagana, capr-point.) alisema:
Mradi huu utakuwa ni msaada sana, kama tu utaweza kuwafikia walengwa na wahitaji harisi. Hongereni sana PDPR.
22 Februari, 2015
Asanthe New Vision Group na hili ndo lengo letu mahususi kuiwezesha jamii na unaweza ukawa wakala wetu huko unakofanya kazi ili jamii izidi kuelimika.
22 Februari, 2015
Ayoub MIchael Mogha (Morogoro) alisema:
naungo mkono jitiada zenu kwani zinaweza kuondoa umaskini katika jamii yetu ya Kitanzania
1 Machi, 2015
Bahitwa (Dodoma) alisema:

Je mpaka sasa mna matawi mikoa ipi hapa Tanzania na je kwa wahitaji walio nje ya mkoa wenu mnawahudumiaje?

9 Machi, 2015 (ilihaririwa 9 Machi, 2015)
Michael charles (Mwanza, Nyamagana, capr-point.) alisema:
Tupo tayari kuwa wakala wenu huku mwanza jaribuni kuwasiliana nasi kwa kutumia namba hizi mara moja 0759880010.
10 Machi, 2015
pdprngo (via email) alisema:
Tunatumia mawakala, Tunawaagizia kwenye bus au lori piga 0754397178 ,
0652556833 kwa maelezo zaidi.
10 Machi, 2015
Deniss Fress (Morogoro) alisema:
Mna mashine za kufyatulia tofali za udongo.
18 Machi, 2015
pdprngo (via email) alisema:
zipo piga 0754397178, 0652556833 kwa maelezo zaidi.
18 Machi, 2015
Kennnedy (Kilimanjaro) alisema:
Asanten sana PDPR kwa mradi huhu,itatusaidia sana sisi wajasiliamali tunaokua.Mimi nipo Moshi.
19 Machi, 2015
Ng'eve moses (sokoine university) alisema:
hongera PDPR Kwa mradi mzuri. pia mradi utaendelea kiufanisi zaidi kama maafisa masoko na mawakala watahakikisha uelewa juu ya uwepo Na ubora WA bidhaa Na huduma zenu unawafikia walengwa.
1 Februari, 2016
Ignace Massao (Dodoma) alisema:
Hongereni.nimesoma mambo yenu naona mko vizuri kwa Dodoma mna wakala? Nilipata contact zenu jana 08/08/17 baada ya kutembelea nane nane. Nilikua natafuta watu wa kunichimbia kisima kwa grarama nafuu.
9 Agosti, 2017

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.