Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Baraza jipya la wafanyakazi Bodi ya Utalii yazinduliwa
Katika kuhakikisha mikakati ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Utalii, Baraza jipya la wafanyakazi wa Bodi ya Utalii hatimaye lazinduliwa. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarish jijini Dar es salaam tarehe 14 Juni 2012.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarish (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi Bodi ya Utalii baada ya uzinduzi wa baraza hilo jipya katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (Dar es salaam),kushoto kwake ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Bodi Utalii Tanzania Dkt. Aloyce Nzuki.
Kwa matukio zaidi tembelea