Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Bibi ambaye pia ni Mjane akifuatilia mafunzo juu ya sheria za kimila na kiisilamu katika haki ya mama ,mjane na watoto.
Mshiriki wa kikundi cha Wosia na mhimua wake akifafanua mada kwa kuhusianisha na Mafunzo
Washiriki katika makundi wakijadiliana juu ya sheria ya ndoa na mirathi.
Washiriki katika makundi wakijadiliana aina za sheria ya ardhi na walengwa mhimu wa sheria.
Washiriki katika makundi wakijadili namna ya Kuitumia elimu waliyoipata na kusaidia wenzao
Mtendaji wa kata-akijadiliana na wana kikundi juu ya Maana ya sera na sheia ya ardhi na umhimu wake katika jamii