Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

medium.jpg

high quality of honey will increase the price of that honey

4 Kamena, 2012

Ibitekerezo (242)

Filbert sanka (Tabora) bavuzeko
Tule asali badala ya sukari
18 Ukwakira, 2012
Filbert sanka (Tabora) bavuzeko
Asali ina dawa nyingi
18 Ukwakira, 2012
Charles Mulumbulila (Arusha) bavuzeko
mimi nauliza bei ya asali kwa lita inaweza kuwa shilingi ngapi?
23 Ugushyingo, 2012
GODFREY NGONYANI (Songea) bavuzeko
Asali ni muhimu sana katika maisha ya binadamu kiuchumi na hata kiafya na pia tunauwezo wa kutengeneza maisha yetu kwa kutegemea nyuki, hivyo basi tumpe nafasi huyu mpangaji ambaye antupatia faida kiuchumi na kiafya karibuni katika uwanja wa nyuki tanzania.
1 Werurwe, 2013
Hawa hasan (Dodoma) bavuzeko
Yap! Guyz, bees are primary producer so lets work with bees so as 2 gain more!
23 Werurwe, 2013
Charles Mulumbulila (Arusha) bavuzeko
mimi nina asali nipeni bei
28 Werurwe, 2013
mohamed saleh (SOGA KIBAHA) bavuzeko

AZMA YANGU NI KUTAKA KUTAKA KUJIFUNZA UFUGAJI WA NYUKI KISASA, NAOMBA MSAADA WAMAARIFA NIKO TAYARI KUJIFUNZA. TAFADHALI( NIMEVUTIWA SANA NA MAELEKEZO YAKE.

14 Mata, 2013 (edited 14 Mata, 2013)
Filbert sanka (Dar es salaam) bavuzeko
Msimu wa urinaji wa asali utaanza mwezi wa sita katikati, warinanaji wawe makini sana katika maswala ya usafi,soko la asali litakuwa nzuri endapo tutafuata maelekezo ya wataalamu wetu
16 Gicurasi, 2013
Benn Kamba (Katavi) bavuzeko
Tuyatunze mazingira yetu ili tupate asali kwa wingi na yenye viwango ili tuondowe umaskini.Yawezekena kabisa kuyaboresha maisha kwa kufuga nyuki na kuongeza kipato na lishe bora..
7 Kamena, 2013
azaria paul (dodoma) bavuzeko
kweli kwa dom ni sh 6000 kwa lita 1. kweli soko la asali ni adimu sana hata mimi naasali sielewi nipeleke wapi?
5 Nyakanga, 2013
Ngonyani Godfrey bavuzeko
Nina NGO yakutoa elimu ya ufugaji wa nyuki lakini bado sijaanza kufanya kazi bado sijawezeshwa naomba ushauri.
5 Nyakanga, 2013
Kasitu Sontwa (Sumbawanga) bavuzeko
Tafadhali, ninaomba kwa yeyote ambaye ana michoro ya namna ya uundaji au uchongaji wa mzinga anitumie. Aksante.
7 Nyakanga, 2013
Kasitu Sontwa (Sumbawanga) bavuzeko
I ask for anyone with beehive construction diagram, please send me.Thanks.
7 Nyakanga, 2013
innocent mkasu (moshi) bavuzeko
kwa anaeitaji msada wa ufugajinyuki ushauri tutafutane hasa kwa walioko arusha na moshi.. tumemaliza chuo na sasa tunataka kueneza elim ya ufugaji nyuki mawasiliano..0712 508958
15 Ugushyingo, 2013
azaria paul (via email) bavuzeko
vipi kwa mwakani kutakuwa na soko zuli la asali sababu tunazalisha asali
kwawingi huku dom.
15 Ugushyingo, 2013
azaria paul (via email) bavuzeko
ila soko ndo halipatikani


2013/11/15 azaria paul <azariapaul@gmail.com>
15 Ugushyingo, 2013
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
unazarisha asali wapi
15 Ugushyingo, 2013
Neema (Tanga) bavuzeko
nahitaji asali kwa bei ya jumla nipo Tanga
20 Mata, 2014
Neema (Tanga) bavuzeko
chuo gani naweza pata short course za beekeeping?
20 Mata, 2014
azza (Dodoma) bavuzeko
bdo haijaanza kupatikana vzur mpaka mwez huu mwishon au watano
21 Mata, 2014
Mohamed Makwaia (Kigoma) bavuzeko
Kuna haja ya kuunganisha nguvu ya wataalamu wafugaji na wafanya biashara ya asali nchini kama ilivyokuwa zamani Enzi za Tabora Beekepers Cooperative Union walifanyakazi kazi kuwa sana ya kuuza asali. Hivyo kianzishwe chama hicho ili kufanikisha uuzaji huo kimataifa kuliko kila mtu na lwake.
9 Kanama, 2014
john neema (via email) bavuzeko
Ni kweli kabisa, hii itasaidia kuwa na msimamo mmoja.

Sent from Yahoo Mail on Android
9 Kanama, 2014
Tumuombe Emnanuel (Biharamulo- Kagera) bavuzeko
am in Biharamulo -Kagera ninatafta soko la asali nina lita kuanzia 600 hebu nisaidien kila lita ni sh ngap na ni wap asanten
7 Ukwakira, 2014
Godftey Ngonyani (Songea) bavuzeko
Kwa wanao taka elimu ya ufugaji wa nyuki chuo kipo Tabora muna karibishwa kupata ujuzi pia wanao hitaji michoro ya utengenezaji wa mizinga,elimu ya uwekaji wa mizinga,mazingira ya ufugaji wa nyuki ili kupata mazao ya uhakika nipo tayari kutoa elimu hiyo tuwasiliane kwa namba:0658229139.
10 Ukwakira, 2014
Godftey Ngonyani (Songea) bavuzeko
Kuhusu masoko bado tunafanya utafiti kamili tutawapa jibu lililo na uhakika. Karibuni nyote katika kupiga vita uharibifu wa misitu maana bila misitu hakuna nyuki na kama hakuna nyuki basi hakuna asali tutazidi kudidimia kiuchumi na kiafya pia.
10 Ukwakira, 2014
john neema (via email) bavuzeko
Ni kweli kabisa. Mi ni afisa nyuki, ninapotoa elimu ya ufugaji nyuki huwa natoa elimu ya utunzaji wa misitu.

Kwa pamoja tunaweza.

Sent from Yahoo Mail on Android
10 Ukwakira, 2014
john neema (via email) bavuzeko
Nahitaji Short course ya ufugaji nyuki .

Sent from Yahoo Mail on Android
10 Ukwakira, 2014
Kayanda Kitogi (via email) bavuzeko
Wala  usijali  mafunzo  hayo  yanawezekana, peleka  maombi  yako  chuo cha ufugaji nyuki Tabora. Watakupatia  utaratibu wa namna  nzuri  ya kujifunza  na kupata cheti  unachokitaka  na utakuwa mtaalam.
10 Ukwakira, 2014
john neema (via email) bavuzeko
Asante sana

Sent from Yahoo Mail on Android
10 Ukwakira, 2014
Kokugonza Mberwa (Dodoma) bavuzeko
Nahitaji tani 1 ya nta kwa bei ya jumla
24 Werurwe, 2015
Joyce (Dar es salaam) bavuzeko
naandika business plan ya biashara ya asali,wauzaji wakubwa Dar salaam ni wakinanani?
3 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Wakubwa ukimaanisha wauzaji wa jumla au?

Sent from Yahoo Mail on Android
3 Gicurasi, 2015
Andrew Ruttaihwa (Dar es salaam) bavuzeko
Mimi ndio nipo kwenye hatua za mwisho za uchongaji wa mizinga 10 (Langstroth)...

Ila mpaka sasa bado sijapata uhakika wa soko la hii asali itakayo kuwa inazalishwa. Pia nimeona baadhi ya wachangiaji wa hii mada wameulizia soko la asali bila kupewa majibu...

Je kweli kunasoko la uhakika..?? Je kuna uwezekano wa kupata soko la mkataba kwa bei ya kudumu kwa muda fulani..??
4 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Mi ni muuzaji wa asali nipo Tanga naihitaji sana, kikubwa iwe yenye ubora.

Sent from Yahoo Mail on Android
4 Gicurasi, 2015
Andrew Ruttaihwa (Dar es salaam) bavuzeko
Sawa ndugu... Basi mimi nikianza kuvuna asali nitakutafuta
4 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Sawa mdau. Tuko pamoja

Sent from Yahoo Mail on Android
4 Gicurasi, 2015
Kayanda Kitogi (via email) bavuzeko
Andrew suala hilo liko sana na wengi wanahitaji asali ni juhudi tu ya kuipata.
Makwaia.
5 Gicurasi, 2015
Kayanda Kitogi (via email) bavuzeko
5 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
Habari  wadau wa asali. soko lipo nje na ndani ya Tanzania tena ni la uhakika. Mimi nanunua asali toka mkoa wa Mbeya Tanzania nauza Dar es salaam. kwa sasa nipo kutengeneza business plan ya biashara ya asali.
5 Gicurasi, 2015
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
Je unauza asali aina gani
5 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Mi nauza ya nyuki wadogo na wakubwa

Sent from Yahoo Mail on Android
5 Gicurasi, 2015
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
Masoko yako mengi sana ila kwa hapa tanzani. Kabla ya kufanya fakinig
angalia kwanza wateha wako wana taka nn? Baaada ya hapo ndo ufanye paking
6 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Kweli kabisa  ndugu yangu. lazima ujue ni watu gani unawauzia. Mfano mimi nina package ya 5000 (350mls), 10000 (750mls) kwa nyuki wakubwa. Nyuki wadogo nina 35,000 (1lt), 20000 (1/2 lt) na 10000 (1/4 lts).
6 Gicurasi, 2015
TUMUOMBE ALEX (via email) bavuzeko
unapatikana wap?

Tumuombe Emmanuel
MANAGER
OFA organic foods associates
Mbezi Louis- Along Morogoro, Road
P.O.Box 54824
Dar es salaam-TANZANIA
E-mail tumuombe.alex@gmail.com
Office: 0786460773
Mobile: 0758266593
WhatsApp :0688265572
6 Gicurasi, 2015
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
Wao hongera sana... na wateja wako hasa ni kina nani?
6 Gicurasi, 2015
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
Ok.. me saivi niko arusha bu nafanya na NGO moja inaitwa PWC loliondo ndo
naanzisha hiyo project ya nyuki..
6 Gicurasi, 2015
Gabriel kapungu (Mbozi) bavuzeko
Natamani sana kuingia kwenye utajiri huu maana Mbeya mbozi hatujui tuuze wapi asali.NiKirudi tu naanza na kuongeza mizinga.
6 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
salaam! ndugu wa mbozi mbeya .kama asali yako ni natural na imerinwa katika mazingira ya usafi ,naomba tuwasiliane. waliowengi wanachakachua asali hivyo wateja wanalalamika.
7 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Asante. Marekebisho nimekutumia kwenye sms

Sent from Yahoo Mail on Android
7 Gicurasi, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Tena huko kuna misitu hadi raha

Sent from Yahoo Mail on Android
7 Gicurasi, 2015
ALLOYCE LUWOJA MUJUNGU (DAR ES SALAAM) bavuzeko
Soko la asali ya Tanzania liko Comoro, Japan na China. Wasiliana na Balozi za nchi hizo Dar es Salaam.
9 Gicurasi, 2015
KITOGI TRADES & INVESTMENT (KIGOMA) bavuzeko
Wajasiriamali wa asali tuko wengi sana nchi hii, tatizo letu kubwa hatufanyi juhudi ya dhati ya kuuungana na kuuza asali na nta kama wengi wanavyotaka badala yake kila mtu analia na mambo yake.Tutengeneze kampuni kubwa inayoitwa TANZANIA HONEY AND BEES COMPANY LTD. Tuisajili na usajili wa kampuni ni fedha kidogo tu, mathalani wote tunao wasiliana kwenye email hii, tukiwa tuna nia ya dhati tunaweza kufanikiwa kwa kupitia Alibaba.com. wao tukijiunga na tukalipa kiingilio wana tutafutia wanunuzi mara na kuuza. Hivyo nawaomba tuamue leo na si maneno mimi niliko kuna asali nyingi na Nta ya kutosha.
11 Gicurasi, 2015
KITOGI TRADES & INVESTMENT (KIGOMA/TABORA) bavuzeko
Nawaomba kama tuko tayari tuanze mwezi huu ili ikifika June,2015 tuwe tayari na wawakilishi na kutengeneza mikataba ya chama yayari kufanya mkutano wa pamoja na kutengeneza mpango kazi, naamini tukifanya hivyo tutafanikiwa sana.Maoni na usahuri wangu kwenu nyote ni huo. ''Play your part it can be done''.
11 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
Salaam, Ndugu wa KITOGI TRADERS & INVESTMENT  nimeupenda  ushauri wako na mimi binafsi nimeukubali. Tutakapoamua kufahamiana ana kwa ana itakuwa rahisi sana kushirikiana katika biashara hii maana soko ni kubwa hata hatuwezi kulimaliza. Wafanyabiashara  makini siku hizi wanaungana na si kufichana wanachofanya  Namba yangu 0754 756 683.
12 Gicurasi, 2015
[Siba igitekerezo]
bertha maseke (ubungo ) bavuzeko
wapendwa nna Lita 200 za Asali napatikana dar..nauza kwa jumla 10,000 kwa Lita na rejareja ni sh 12,000..ni Asali kutoka mkoa Wa katavi pia haijachakachuliwa..tuwasiliane kwa 0718632033
14 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
bertha kwani asali yako umeshaichuja vizuri ,kufanya parking na kuweka lebo?
14 Gicurasi, 2015
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Bado Joyce
28 Gicurasi, 2015
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Hi Bertha Maseke,
Wasiliana na Ubalozi wa Japan hapo DSM utakuwa na soko la kudumu. Pia wasiliana na Ubalozi wa Comoro utapata soko zuri huko la Asali ya Tanzania.Ahsante.
Alloyce
28 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
Habari. Mr Alloyce naomba unifafanulie sijaelewa somo mwenzeni . Unasema bado nini?
28 Gicurasi, 2015
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Hi Joyce,
Nilikuta message kuwa nimechuja asali ndo nikasema bado Joy.
28 Gicurasi, 2015
joyce shoo (via email) bavuzeko
Salaam Alloyce, nimekupata tuko pamoja.
29 Gicurasi, 2015
irene michael (daressalaam) bavuzeko
nigependa kujua bei ya asali ya nyuki wa dogo kwa dodoma
10 Kamena, 2015
FRANK CHALE (RUKWA) bavuzeko
Napenda sana kujikita kwenye hii biashara
naomba kuelezwa je mzinga mmoja unweza kutoa asali kiasi gani na unavuna mara ngapi kwa mwaka..?
11 Kamena, 2015 (edited 11 Kamena, 2015)
FRANK CHALE (RUKWA) bavuzeko
Huku kwetu rukwa nyuki ni wengi sana..ila katika wilaya yetu hii ya Kalambo, wanaojihusisha na ufugaji wa nyuki ni wachache saana.
11 Kamena, 2015
DAVID RICHARD (KAHAMA) bavuzeko
Habari zenu wadau wenzangu?nimeanza kurina asali na ninategemea kupata lita 5000,naomba mnisaidie kupata masoko.
13 Kamena, 2015
john neema (via email) bavuzeko
Uko wapi ?na bei ikoje?

Sent from Yahoo Mail on Android
14 Kamena, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Kwa hiyo unahitaji nini ili wewe uweze kufanikiwa kwenye ufugaji wa nyuki.
19 Kamena, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Umepata bei ya nyuki wadogo kwa dodoma?
19 Kamena, 2015
godfrey.ngonyani (via email) bavuzeko
Andaa mazinyira tufanye kazi.

Envaya <web@envaya.org> wrote:
3 Nyakanga, 2015
Ally (Tabora) bavuzeko
naitwa Ally nipo tabora natafuta wanunuzi wa zao la asali anayehitaji niwe supplier wake 0764519006 au 0653404517
2 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Nitakutafutia huwa wanahitaji kwenye masupermarket. Je zimewekewa na lebo
zake kabisa?
5 Kanama, 2015
Ally Saburi (via email) bavuzeko
no me na export  dumu kubwa zile za ltrs 20 i mean nauza kwa jumla
5 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Imeandaliwa vizuri? Na ni bei gani kwa dumu moja?
5 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Imepimwa? Na ipo kwenye grade ya ngapi?

On Wed, Aug 5, 2015 at 1:21 PM, Godfrey Ngonyani <godfrey.ngonyani@gmail.com
5 Kanama, 2015
(Umuntu utazwi) bavuzeko
dumu ni 150000 mpaka inakufikia hapo mjini dar es salaam then ukihitaji iliyopimwa unawweza pata but bei tofaut ni laki na 80 kipo kikundi ambacho kina usajili wa tbs
10 Kanama, 2015
(Umuntu utazwi) bavuzeko
john neema tuwasiliane tufanye busness
10 Kanama, 2015
(Umuntu utazwi) bavuzeko
0764519006
10 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Asante ndugu yangu tutawasiliana
13 Kanama, 2015
Mohamed Makwaia (Kigoma) bavuzeko
Namshukuru Mungu kuwa salama, jamani wanajamii wa Asali naomba tuweke tarehe ya kukutana ili tufahamiane na tujipange juu ya biashara hii na pia kuunda umoja wa biashara. Maneno tunayo mengi vitendo ndiyo vinatakiwa.Muda huu asali ndiyo inavunwa na kuuzwa.
13 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Wazo nzuri sana, Asante kwa ushauri.
17 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani has left you a message on WAYN.

Read the message:
http://www.wayn.com/-/77550-2phfdp7?invite_token=rnimci-902qg7vp5s1dj

All the best,
The WAYN Team
20 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani has left you a message on WAYN.

Read the message:
http://www.wayn.com/-/77550-2phfdpi?invite_token=rnimct-4cf3rjlfl6auk

All the best,
The WAYN Team
20 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani has left you a message on WAYN.

Read the message:
http://www.wayn.com/-/77550-2phfdpk?invite_token=rnimd0-92eiqpblg24r7

All the best,
The WAYN Team
20 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani has left you a message on WAYN.

Read the message:
http://www.wayn.com/-/77550-2phfdpm?invite_token=rnimd2-ep6vocohhc3t4

All the best,
The WAYN Team
20 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani added you as a friend and is still waiting to hear from you.

Respond:
http://www.wayn.com/-/77643-2pw2fnr?invite_token=rnimd0-92eiqpblg24r7

All the best,
The WAYN Team
27 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani added you as a friend and is still waiting to hear from you.

Respond:
http://www.wayn.com/-/77643-2pw2fnt?invite_token=rnimd2-ep6vocohhc3t4

All the best,
The WAYN Team
27 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani added you as a friend and is still waiting to hear from you.

Respond:
http://www.wayn.com/-/77643-2pw2fnp?invite_token=rnimct-4cf3rjlfl6auk

All the best,
The WAYN Team
27 Kanama, 2015
Godfrey Ngonyani via WAYN (via email) bavuzeko
Hi,

Godfrey Ngonyani added you as a friend and is still waiting to hear from you.

Respond:
http://www.wayn.com/-/77643-2pw2fnf?invite_token=rnimci-902qg7vp5s1dj

All the best,
The WAYN Team
27 Kanama, 2015
Abel (kagera) bavuzeko
Naomba msaada anayefahamu soko la asali Mwanza au kanda ya ziwa awasiliane nami kupitia email: abelgerald62@gmail.com
8 Nzeli, 2015
Filbert Sanka (Tanzania ) bavuzeko
Bee keepers make sure that you have to use clean containers for collecting the honey otherwise you are going to loose business
11 Nzeli, 2015
Filbert Sanka (Tanzania ) bavuzeko
Honey business please call +255784572720 or whatsapp +255752750409
11 Nzeli, 2015
Mohamed Makwaia (Kigoms) bavuzeko
Jamani kama nilivyotangulia kusema hapo kabla, kwamba maneno wana Asali yamekuwa mengi sana, sasa tufanye jitihada tukutane kwa ajili ya kutambuana na kufungua rasmi Kampuni ya asali hapa Tanzania, ikiwezekana mwezi oktoba au Novemba 2015. Mimi napendekeza na kuwakaribisha Kigoma, kutokana kigoma kuwa na vikundi vingi vya asali hivyo baada ya mkutano tunawatembelea na kupata taarifa muhimu zaidi za uwekezaji katika
Uuzaji asali. Hayo ndiyo maoni yangu.
12 Nzeli, 2015
Yasini shabani (Dar es salaam) bavuzeko
Hellow,
I would like to be member of beekeeping organisation..
13 Nzeli, 2015
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Your welcome mr.Yasini
14 Nzeli, 2015
George Kabaka (Tabora- Urambo) bavuzeko

Hallow! mm nipo Tabora nina asali lita 600 (nyuki wakali), kila lita 20 nauza 200,000, kama kunamteja anitafute 0767521736, asali ni mbichi na imepakuliwa wiki iliyopita.

12 Ukwakira, 2015 (edited 12 Ukwakira, 2015)
SINDI KASAMBALA (ARUSHA) bavuzeko
jambo wadau, nauliza jinsi ya kuvuna asali kwenye mizinga ya box ya kutundika juu. Nina nyuki wadogo na mizinga haina zile reli, naomba msaadawenu wa mawazo na ujuzi kwenye hilo
28 Ukwakira, 2015
Sauda Simba (Dar es Salaam ) bavuzeko

Kesho mchana tunazindua Chama Cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania (TABEDO) jijini Dodoma. Anaehitaji maelezo zaidi anitumie email, saudajazzmin@hotmail.com

29 Ukwakira, 2015 (edited 29 Ukwakira, 2015)
Mohamed Makwaia (Kigoma) bavuzeko
Bi Sauda nimekupata, nilipenda sana kuhudhuria ufunguzi, lakini niko mbali na taarifa hii kwangu ni fupi mno. Cha muhimu mkikamilisha tupate maelezo ya ziada na pengine fomu ya kijiunga au kama ni Dodoma nikija nitakuona rasmi.
MAKWAIA
KITOGI TRADED & INVESTMENT. KIGOMA.
30 Ukwakira, 2015
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Hi EnvayaAlloyce Mujungualomujungu@yahoo.com
1 Ugushyingo, 2015
Andrew Ruttaihwa (Dar es salaam) bavuzeko
Email yangu ni ruttazworld@yahoo.com

Naomba nipate taarifa juu ya chama /kampuni ya ufugaji nyuki na uuzaji asali
1 Ugushyingo, 2015
emanuel bike (mbeya) bavuzeko
nimependa sana mijadala inayoendelea kuhusu biashara ya asali kwa sababu napenda kujua mengi zaidi kuhusu biashara hii nzuri
5 Gashyantare, 2016
ally saburi (katavi) bavuzeko
john neema tanga naomba tuwasiliane
3 Gicurasi, 2016
john neema (via email) bavuzeko
0762075119

Sent from Yahoo Mail on Android
3 Gicurasi, 2016
Kasitu Sontwa (Sumbawanga and Kalambo - Rukwa) bavuzeko
Habari gani! Hivi serikali inatoa fursa kwa wafugaji wa nyuki? Pili, soko la uhakika la asali liko wapi?
3 Gicurasi, 2016
ally (katavi) bavuzeko
msimu wa asali umewadia kama unapata soko kubwa ni vema kushare na wenzako
5 Gicurasi, 2016
emanuel bike (mbeya) bavuzeko
Kwel kbsa inabidi tujuzane kuhusu soko la asali
5 Gicurasi, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko

Ndugu, Jamaa na marafiki wafuga nyuki muliokuwa dar es salaam tupange siku moja tukutane tuweze kupanga na kupambanua kuhusu biashara hii ya asali lengo kuu ni kujadili kwamba tutafanyaje tupate soko la asali linalo eleweka? Tafadhali wanajumuiya wenzangu naomba tufikirie kuhusu hili jambo.

9 Gicurasi, 2016 (edited 9 Gicurasi, 2016)
Yasini Shabani (Dar es salaam) bavuzeko
Kweli Kabisa wazo zuri
9 Gicurasi, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko
Tulifanyie kazi wadau Please!
9 Gicurasi, 2016
Michael Florence (Kilimanjaro) bavuzeko
Habari ndugu zangu watanzania ..nimefurahi na kuguswa kuona mnajadili namna ya kujikwamua kimaendeleo kupitia zao la nyuki(asali) naomba kujiunga nanyi kwani na mm niko katika utafiti juu ya zao hili.
21 Gicurasi, 2016
kiyungi (morogoro) bavuzeko
tatizo ni uhakika wa soko kama kuna mtu ana uhakika na soko la asal ndan na nje ya tanzania atoe details za kutosha.....mipango ya kuform organization iwekwe clear
1 Kamena, 2016
MICHAEL KALIKWEMBE (via email) bavuzeko
Ok nimekuelewa ndugu...ww uko pande za wapi?
3 Kamena, 2016
mohamed ibuni (via email) bavuzeko
Who want to change the name let be as it is it's  a good name

Sent from Yahoo Mail on Android

On Wed, 1 Jun, 2016 at 10:49 am, Envaya<web@envaya.org> wrote: tatizo ni uhakika wa soko kama kuna mtu ana uhakika na soko la asal ndan na nje ya tanzania atoe details za kutosha.....mipango ya kuform organization iwekwe clearhttps://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to mohamedibuni@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
4 Kamena, 2016
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Karagwe,Kagera
7 Kamena, 2016
Lwembu (Dar es Salaam) bavuzeko
Nahitaji nta, Naomba ofa yenu kwa bei ya jumla, kwa kg au tani. Naanza kupata soko, na nikifanikiwa tutaungana tupate wrote faidha. Email francanato@gmail.com
16 Kamena, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko
Kwa kipindi hiki upatikanaji wake ni mgumu kidogo ila kama inaweza kupatikana ni kidogo.
16 Kamena, 2016
Lwembu (Dar es Salaam) bavuzeko
Asante ndugu Ngonyani. Kipindi gani bora kwa upatikanaji wa nta? Na bei yake wastani?
16 Kamena, 2016
MICHAEL KALIKWEMBE (via email) bavuzeko
hello!
Naomba mtu anaeuza asali ya nyuki wadogo hata na wakubwa pia kwa bei ya
jumla aniinbox tufanye biashara!
20 Kamena, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko
Hello!
Michael habari za kazi na pole kwa majukumu, ulikuwa unahitaji kiasi gani na upo wapi?
21 Kamena, 2016
MICHAEL KALIKWEMBE (via email) bavuzeko
Asante ndugu Godfrey, mimi nipo moshi mjini na Ningependa kujua pia kuwa
wewe uko wapi naa pia unafuga nyuki mwenyewe?

Naomba kufahamu hayo ndugu kwani ninauhitaji sana wa asali.
21 Kamena, 2016
Michael Florence (Kilimanjaro) bavuzeko
ndugu Aloyce Kapungu naomba unitafute kwa namba 0758 100 169 ili uniuzie asali au kwa email yangu ;; michaelkalikwembe@gmail.com nahitaji asali ya biashara.
21 Kamena, 2016
Godfrey Ngonyani (via email) bavuzeko
Habari ndugu michael,
Mimi ninafuga mwenyewe nyuki, na ninaishi Dar Es Salaam kwa sasa shamba
langu la ufugaji wa nyuki lipo songea kwa kipindi hiki bado sijaanza
uvunaji ila nina wenzangu ambao nipo nao kikundi kimoja naweza
nikakuunganisha nao na ukafanikisha zoezi lako.
22 Kamena, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko
Habari Mr.Lwembu!
Ulikuwa unatafuta nta kipindi fulani je umezipata, kama haujazipata naomba namba zako za simu nikuunganishe na mtu ambaye anazo kwa sasa.
1 Nyakanga, 2016
Francis (Image Iringa and Njombe) bavuzeko
Mimi ni mzalishaji asali naomba mawasiliano ya wanunuzi wa asali,asali mbichi toka Iringa misitu ya udzungwa na Image,safi.Hebu anayejua au mnunuzi anipe mawasiliano .
21 Nyakanga, 2016
Godfrey Ngonyani (Dar Es Salaam) bavuzeko
Habari ya iringa francis, mawasiliano yako tunayapata vipi inabidi unaweka namba za simu au Email address zako.
21 Nyakanga, 2016
Francis Mgaya (via email) bavuzeko
Nashukuru ndugu ,namba nzangu nza nsimu ni 0756983500,0712812691
mgayafrancis@yahoo.com,au offisi ncdftz2013@live.com
Tuwasiliane ,msaada wenu katika hayo.
Francis
24 Nyakanga, 2016
BAITON JIMMY MSHANI (MVOMERO-TURIANI-MOROGORO) bavuzeko
BEEKEEPING COMMUNITY AWARENESS ORGANIZATION (BECAO)TUNA FUGA,TUNATOA ELIMU,TUNAMASOKO PIA KUTOKANA NA UBORA WA ASALI SIMU 0752-469443 PIA IPO WASAP
10 Kanama, 2016
Francis Mgaya (via email) bavuzeko
We Njombe Community Development Foundation (NCDF) ,one of program we run is to deal with Environment conservation through group and our self we started to keep bees ,Our group member they have honey some are discouraged to this program due to lack of  clear market.But if market is good many will be incouraged to keep them.May the market be known to us per each tin  of 20L.Francissecretary 

From: Envaya <web@envaya.org>
To: somebody <mgayafrancis@yahoo.com>
Sent: Wednesday, August 10, 2016 8:43 AM
Subject: BAITON JIMMY MSHANI added a new comment

BEEKEEPING COMMUNITY AWARENESS ORGANIZATION (BECAO)TUNA FUGA,TUNATOA ELIMU,TUNAMASOKO PIA KUTOKANA NA UBORA WA ASALI SIMU 0752-469443 PIA IPO WASAP https://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to mgayafrancis@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
18 Kanama, 2016
BAITON JIMMY MSHANI (TURIANI -MVOMERO-MOROGORO) bavuzeko
kALIBU KATIKA UTAMADUNI WA UFUGAJI NYUKI,NA BECAO TUNA ASALI YA KUTOSHA KWA YEYOTE ANAE HITAJI PIGA 0752-469443 TUPO TURIANI MOROGORO
23 Kanama, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
UFUGAJI NYUKI UNATAKA MOYO WA KUJITUMA NA KUJITOLEA KWA KIWANGO
KIKUBWA,LAKINI UMOJA NA USHIRIKIANO KATIKA KUPASHANA HABARI NI NGUZO KUU YA
MAENDELEO JUU YA UFUGAJI NYUKI

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
23 Kanama, 2016
Sadallah Benbellah (Arusha) bavuzeko
nashkuru sana kwa mada na elimu itolewayo kwan ni elimu ni nyingi tunapata na kuzidi kupata wigo kuhusu zao la asali..Mimi Sadallah kutoka Arusha mjasiriamali wa asali
24 Kanama, 2016
yasini shabani (via email) bavuzeko
habari,
nina taka asali safi mwenye nayo tuwasiliane 0656103039 / 0714507124
26 Kanama, 2016
Francis Mgaya (via email) bavuzeko
Unataka kiasi gani?,tunayo high quality


From: Envaya <web@envaya.org>
To: somebody <mgayafrancis@yahoo.com>
Sent: Friday, August 26, 2016 7:11 AM
Subject: yasini shabani added a new comment

habari,
nina taka asali safi mwenye nayo tuwasiliane 0656103039 / 0714507124https://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to mgayafrancis@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
26 Kanama, 2016
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Hi Envaya.Kg 1 ni Tshs ngapi?Alloyce.
30 Kanama, 2016
alloyce mujungu (via email) bavuzeko
Ahsante sana.Alloyce
30 Kanama, 2016
Francis Mgaya (via email) bavuzeko
Rejareja Tsh 10,000 pale kijijini ,asali mbichi miti ya mikwee dawa na salama ,inaviwango vya juu.Jaribu 4kg zipo hapa Mjini Iringa-Njombe toka huko Image,Utatumiwa kwa usafiri wa basi pale ulipo.
Francis


From: Envaya <web@envaya.org>
To: somebody <mgayafrancis@yahoo.com>
Sent: Tuesday, August 30, 2016 5:21 AM
Subject: alloyce mujungu added a new comment

Hi Envaya.Kg 1 ni Tshs ngapi?Alloyce.https://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to mgayafrancis@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
30 Kanama, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
Beekeeping community awareness organization 0752469443 asali tunayo
4 Nzeli, 2016
James Matulu (Makete) bavuzeko
Sasa Jamani hakuna hata mtu mmoja ambaye amefafanua japo kwa ufupi namna ambavyo mwingine asiyejua ufugaji wa nyuki ni namna gani anaweza kuwekeza na output ni nini?
Mtusaidie na sisi wageni basi.
9 Ukwakira, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
ITAKUTUMIA

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
13 Ukwakira, 2016
OMARY MOHAMED (MWANZA) bavuzeko
JAMANI NATAFUTA MTAALAMU WA NYUKI ALIENAUJUZI WA KUHAMISHA NYUKI NA KUWA WEKA KWENYE MIZINGA NAPATIKANA MWANZA KWA MAWASILIANO NI 0763662386
19 Ukwakira, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
beekeeping community awareness organization kutoka morogoro mvomero turiani
tupo tayali
19 Ukwakira, 2016
OMARY S MOHAMED (MWANZA) bavuzeko
WATANZANIA NAHITAJI MTU MWENYE UJUZI WA KUHAMISHA NYUKI KWENYE NYUMBA YA KUISHI ´NA KUWAWEKA KWENYE MIZINGA YAO PAMIJA NA KUWATENGENEZEA MAZINGIRA ILI UONEKANE KUWA NI MRADI, ILA MWOMBAJI AWE NI MWENYEJI WA MWANZA ILIKUONDOA GHARAMA NDODGO NDOGO ZA NAULI KWA MAWASILIANO PIGA 0763662386
20 Ukwakira, 2016
Daniel Mohamed (via email) bavuzeko
ndugu zangu mko mbali sana nitashidwa kuwahudumia ingekuwa ni mwanza at
least


2016-10-19 14:55 GMT+03:00 Envaya <web@envaya.org>:
20 Ukwakira, 2016
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
0763895955 anaitwa dorkas"
20 Ukwakira, 2016
Innocent Mkasu (via email) bavuzeko
0758503767 huyu nae anaitwa Ayubu
20 Ukwakira, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
AMINA

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>

2016-10-20 8:14 GMT+01:00 Envaya <web@envaya.org>:
20 Ukwakira, 2016
Deogratius chimazi (sumbawanga- Rukwa) bavuzeko
huku kwetu rukwa asali nyingi sana lakini soko ndo tatizo kama wadau mnajua masoko tuwasiliane basi, 0754657570/ deochimazi@gmail.com
25 Ukwakira, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
DUMU AU NDO?

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
25 Ukwakira, 2016
(Umuntu utazwi) bavuzeko
nataka lita mia za asali(100ltrs)
29 Ugushyingo, 2016
Emanuel Bike (via email) bavuzeko
Unanunua shi ngap litre na uko ap
29 Ugushyingo, 2016
beekeeping society (via email) bavuzeko
NINAZO MKUUU KARIBU SANA
PIGA 0752-469443,0658-764532

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
13 Ukuboza, 2016
Jafary (Dar es salaam) bavuzeko
Nina asali lita 100 napatikana dar es salaam lita 20 nauza 130,000 kama kuna muhitaji naomba tuwasiliane kwa namba hii jamani 0658999507
14 Ukuboza, 2016
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
Amina
14 Ukuboza, 2016
Sika Sikalengo (Songwe) bavuzeko
Ndugu Wafugaji wenzangu habari. Ninaomba kuunganishwa na watu wa Ufugaji Nyuki popote pale.
Naihtaji elimu hiyo pia. Thanks
14 Mutarama, 2017
Sika Sikalengo (Songwe) bavuzeko
Ndugu Wafugaji wenzangu habari. Ninaomba kuunganishwa na watu wa Ufugaji Nyuki popote pale.
Naihtaji elimu hiyo pia. Thanks
14 Mutarama, 2017
Mwendamseke (Njombe) bavuzeko
Nahita kujua wanunuzi wa asali na nta na bei ikoje mi niko njombe
15 Mutarama, 2017
Mwendamseke (Njombe) bavuzeko
Ndugu wadau kuna teknolojia ya mizinga ya udongo na tofari kwa ufugaji wa nyuki na kuepuka changamoto za moto sim no 0759043626
15 Mutarama, 2017
Ally Saburi (via email) bavuzeko
ntaa unayo kiasi gani
15 Mutarama, 2017
Baiton Jimmy Mshani bavuzeko
Asali ipo
18 Gashyantare, 2017
Erasto Kalist (Mkinga-Tanga) bavuzeko
Habari wadau..Naomba kujua mwenye taarifa sahihi za Honey King Ltd cha Kibaha huwa wananua Asali kwa bei gani?
18 Gashyantare, 2017
Atukuzwe Mwendamseke (via email) bavuzeko
hao jamaa wanavigezo vyao ilikuwa elfu nane kwa kilo mwakajana nasikia
21 Gashyantare, 2017
CHARLEs (Dar es salaam) bavuzeko
Jamani nahitaji msaada kwa wafugaji wa kisasa, mzinga mmoja wa kisasa, unaweza toa Inta Kiasi gani kwa mwaka..?
26 Gashyantare, 2017
Elias S. Mpenzwa (Dar Er Salaam) bavuzeko
Nina asali Mbichi litre 100 nauza jumla na rejareja mwenye kuhitaji anitafute 0762578076/0786384091
22 Werurwe, 2017
Erasto Kalist (via email) bavuzeko
Upo mkoa gani mdau.
22 Werurwe, 2017
CHARLES MCHOME (via email) bavuzeko
 Asante kwa email yako  Unazalisha pia Inta..?Asante.

From: Envaya <web@envaya.org>
To: somebody <cmchome@yahoo.com>
Sent: Wednesday, 22 March 2017, 19:46
Subject: Elias S. Mpenzwa added a new comment

Nina asali Mbichi litre 100 nauza jumla na rejareja mwenye kuhitaji anitafute 0762578076/0786384091 https://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to cmchome@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
22 Werurwe, 2017
Elias Mpenzwa (via email) bavuzeko
Hapana, nta bado  sijaanza kuzalisha lakini ninampango huo
22 Werurwe, 2017
Elias Mpenzwa (via email) bavuzeko
Nipo Mkoa wa Dar Es Salaam
22 Werurwe, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
MIMI NIPO MOROGORO

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
22 Werurwe, 2017
Elias Mpenzwa (via email) bavuzeko
Ok, nawe ni muuzaji na soko lako liko wapi?
22 Werurwe, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
Maendeleo ni mazuri Sana ila vyema kyshirikiana katika biashara hii wasap
nipo kwa 0752469443
22 Werurwe, 2017
CHARLES MCHOME (via email) bavuzeko
Asante sana kwa no yako ya simu,  Mimi ni nafanya fanya biashara tu ya kununua na kuuza nta tu ila ambayo inazalishwa kwa kiwango kizuriAsali Sina soko kwa kweli.  Ila ntapendelea kama ntaweza pata picha jinsi unavyozalisha asali yako hatua kwa hatua labda ninaweza jaribu pia kuitafutia soko, kama utakuwa huchemshi wakati wa kuiandaa.Asante.Charles.+818030907621

From: Envaya <web@envaya.org>
To: somebody <cmchome@yahoo.com>
Sent: Thursday, 23 March 2017, 3:39
Subject: Beekeeping Society added a new comment

Maendeleo ni mazuri Sana ila vyema kyshirikiana katika biashara hii wasap
nipo kwa 0752469443https://envaya.org/nyukitz/post/5?comments=1#comments

This email was sent to cmchome@yahoo.com because somebody registered this email address on Envaya.

To change the language of emails from Envaya or to unsubscribe, go here.

Envaya is a project of the Trust for Conservation Innovation.
150 Post Street, Suite 342, San Francisco, CA 94108
23 Werurwe, 2017
Elias Mpenzwa (via email) bavuzeko
Asante sana, sikuwa online tangu jana jioni, nashukuru kwa kuwa tayari kunitafutia soko, siichemshi hata kidogo, pia kuna ile ambayo haijachujwa kabisaa yaani ya makapi wanaita, takutafuta watsaap pia
23 Werurwe, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
nitafute wasap

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
1 Mata, 2017
Simon Mipawa (Dar es salaam) bavuzeko

Mi niko Dar nauza asali ya nyuki wakubwa ya kutoka TABORA kwa jumla na rejareja, na kwa mtu wa mahitaji ya nta anitafte ili tufanye biashara .
pia nmefurahi kuona majadiliano mazuri ktk kuboresha biashara ya asali.
Napatikana +255763110764/+255625689363.

2 Mata, 2017 (edited 2 Mata, 2017)
Atukuzwe Mwendamseke (via email) bavuzeko
sawaaa nitafute 0759043626
8 Mata, 2017
johansen bilasho (dodoma ) bavuzeko
Nipo Dodoma nataka kuanza biashara ya kuuza asali jumla na rejareja, kwasasa natafuta mkulima wa kuniuzia naanza na lita 100
24 Mata, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
wazo zuri na ubunifu mwema,chamsingi usijalibu fanya

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
25 Mata, 2017
mdundo (Dar es Salaam) bavuzeko
Mimi ni mzalishaji nina shamba Kibiti,Pia ni msambazaji nina soko kwenye supermarkets ziwe na label ,barcode,TFDA Pia nanunua tutafutane whatsup 0688296400.Hii ni fursa tuitumie
25 Mata, 2017
Erasto Kalist (via email) bavuzeko
Mdau..kg moja unanunua bei gani ikiwa ziko processed vizuri,bar code na
TFDA aproval?
26 Mata, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
SAFI SANA

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
8 Gicurasi, 2017
Jane (SHINYANGA) bavuzeko
BEEKEEPING SOCIETY
AHSANTE SANA KWA MAFUNZO KUPITIA MTANDAO.
MIMI NI MZALISHAJINA MSAMBAZAJI WA JUMLA NA REJAREJA WA ASALI
9 Gicurasi, 2017
Jane (SHINYANGA) bavuzeko
BEEKEEPING SOCIETY
AHSANTE SANA KWA MAFUNZO KUPITIA MTANDAO.
MIMI NI MZALISHAJINA MSAMBAZAJI WA JUMLA NA REJAREJA WA ASALI
9 Gicurasi, 2017
Kasitu Sontwa (Sumbawanga) bavuzeko
Za Nazi!
Naomba kujua yanakopatikana mavazi ya kurinia asali(harvesting veil), na ni sh ngapi. Niko sumbawanga. 0755157399
11 Gicurasi, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
MAVAZI YAPO NA BEI YAKE NI 80,000/= UNAWEZA KUYAPATA KWA HARAKA SANA
NITAFUTE KWA 0752469443 WASAP

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
11 Gicurasi, 2017
Erasto Kalist (via email) bavuzeko
Naomba bei za bee suit,Smoker,gloves,buts,bee knives na kama pia
unatengeneza honey press au honey extractor.Au attach kipeperushi cha
bidhaa zako mdau.
11 Gicurasi, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
Nimekupata
12 Gicurasi, 2017
Dimetrea Peter (Dar es Salaam ) bavuzeko
Nahitaji asali safi na mbichi lita 60 za Kuanzia na itakuwa biashara ya kudumu kwa mwenyenayo anitafute kwa 0688364559 au 0739751950.
8 Kamena, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
nimeona dada tutawasiliana na ninaamini tutafanya biashara

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
8 Kamena, 2017
Mail Service (via email) bavuzeko
SAWA NDUGU YANGU  UKO WAPI NAUNAITWA NANI?
8 Kamena, 2017
Mail Service (via email) bavuzeko
ASALI HUPIMWA KWA KILO SIYO LITA HIVYOUNAHITAJI KILO NGAPI TUKUTAFUTIE
8 Kamena, 2017
Beekeeping Society (via email) bavuzeko
KWEMA NDUGU

<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=icon>
Virus-free.
www.avast.com
<https://www.avast.com/sig-email?utm_medium=email&utm_source=link&utm_campaign=sig-email&utm_content=webmail&utm_term=link>
<#DDB4FAA8-2DD7-40BB-A1B8-4E2AA1F9FDF2>
8 Kamena, 2017
Mail Service (via email) bavuzeko
SALAMA PARTNER
8 Kamena, 2017
Segunda Lesilwa (via email) bavuzeko
salama kabisa
8 Kamena, 2017
Mail Service (via email) bavuzeko
SANA PARTNER
8 Kamena, 2017
BOGOSI'S (dar es salaam) bavuzeko
Wapi au nani anae nunua asali
Natafuta soko mamba yangu ni 0624016590 au 0654013178
19 Kamena, 2017 (edited 19 Kamena, 2017)
Atukuzwe Mwendamseke (via email) bavuzeko
mimi nipo NJOMBE wewe hiyo asali una zalisha mwenyewe au unanunua ntafute kwa namba hii 0759043626
21 Kamena, 2017
MUSSA BOGOSI (via email) bavuzeko
Nazalisha mwenyew na zngne huw na nanunua huko huko shamba tabora
21 Kamena, 2017
ELISEI GUSTAV (Dar es salaam) bavuzeko
Nauza asali nzur kutoka tabora napatikana kwa namba 0763113225
14 Nyakanga, 2017
MUSSA BOGOSI (via email) bavuzeko
Bei gani
14 Nyakanga, 2017
ELISEI GUSTAV (Dar es salaam) bavuzeko
lita 20@130000 kupanda inategemea na soko
14 Nyakanga, 2017
(Umuntu utazwi) bavuzeko
Unawezakuwa na Lita ngapi
15 Nyakanga, 2017
Elisey Gustav (via email) bavuzeko
lita 100
15 Nyakanga, 2017
Erasto Kalist (via email) bavuzeko
Upo mkoa gani...namba ya cm tafadhali.
15 Nyakanga, 2017
Elisey Gustav (via email) bavuzeko
dar es salaam # 0763113225
15 Nyakanga, 2017
Dimetrea Peter (via email) bavuzeko
Thanks.
Nimekwishapata supplier.
16 Nyakanga, 2017
frank mshahara (Dar es salaam) bavuzeko

nawaombeni mni saidie kupata elimu ya ufugaji nyuki kuanzia utengenezaji mizinga hadi kuendelea namba yangu yasimu ni 0759460544 tumesajiliwa kama kikundi

17 Nyakanga, 2017 (edited 17 Nyakanga, 2017)
Simon Mipawa (Dar es salaam ) bavuzeko
Nauza Asali ya kutoka tabora Lita 20 @130,000/= Napatikana Dar es salaam Pia nahitaji soko la Nta
0763110764/0625689363
17 Nyakanga, 2017 (edited 17 Nyakanga, 2017)
Atukuzwe Mwendamseke (via email) bavuzeko
nitafute kwa 0759043626 naitwa ATUKUZWE MWENDAMSEKE
19 Nyakanga, 2017
Romario Benbellah (via email) bavuzeko
Nina Asali za kutosha na napokea order za Asali kwanzia dumu(lita 20) kutoka tabora na kuendelea. Niko Arusha 0716 282044

Sent from my iPhone
8 Kanama, 2017
yasini shabani (via email) bavuzeko
Habari,

Anaomba awe added humu
pmakweka@yahoo.com
11 Kanama, 2017
Luziga (Da es salaam) bavuzeko

Kwa wale wa dar nina asali safi mbichi bei lita 12000 tu pia zipo za package ya elfu 5 na ndogo zaidi,package yetu ni ya ubora wa hali ya juu 

Tuwasiliane 0759007696 au 0712625416 

Watsapp 0759007696

19 Kanama, 2017 (edited 19 Kanama, 2017)
hamisi nassoro cheni (dar es salaam) bavuzeko
Nimefurahi sana kuona maoni mbalimbali kuhusu biashara ya asali nami ni mdau naomba tubadilishane uzoefu kuhusu biashara ya asali mimi ninazo lita 400 simu 0756221677
5 Ukwakira, 2017
Timothy john (Dar es salaam) bavuzeko
Nina asali ya kuuza jamani lita 11000 na nusu lita 5500 Dar na nnje ya mkoa natuma kwa anaehitaji tuwasiliane kwa nambari 0764 866851 au 0712570497
10 Gashyantare, 2018
Justin mgeni (Njombe) bavuzeko
Biashara nzuri nawapongeza kwa majadiliano kama haya
31 Werurwe, 2018
Allen Njau (Dar es Salaam) bavuzeko
Nafurahi sana kuona comments mbalimbali, mimi nanunua Asali kwa ajili ya kiwanda chetu. Hivyo naomba kama upo serious kwa mkataba wa muda mrefu, nicheki kupitia WhatsApp 0717188666
Jina lako kamili
Kijiji unachofugia
Bei yako hadi Dar es Salaam
IWEKWE NDOO MPYA TU
7 Gicurasi, 2018
Kennedy John Ndilima (Rombo-kilimanjaro) bavuzeko
Tafadhali naomba kufahamu, mzinga mmoja naweza kuvuna kiasi gani cha asali?
2 Kamena, 2018
Kennedy John Ndilima (Rombo-kilimanjaro) bavuzeko
Tafadhali naomba kufahamu, mzinga mmoja naweza kuvuna kiasi gani cha asali?
2 Kamena, 2018
Kennedy John Ndilima (Rombo-kilimanjaro) bavuzeko
Tafadhali naomba kufahamu, mzinga mmoja naweza kuvuna kiasi gani cha asali?
2 Kamena, 2018
Kennedy John Ndilima (Rombo-kilimanjaro) bavuzeko
Tafadhali naomba kufahamu, mzinga mmoja naweza kuvuna kiasi gani cha asali?
2 Kamena, 2018
Jeremiah Maselle (Kinondoni, Dar es Salaam) bavuzeko
Sisi tuna kikundi na tunavuna tani 15000 kwa muhula, tunatafuta soko la nje kama kuna mtu anajuwa basi atujuze kwa namba +255767577157 au +255712555164
3 Kanama, 2018
Sakaya (Arusha) bavuzeko
nahitaji mizinga yenye nyuki wasiouma tayari muuzaji anitafute 0757364676
Nanunua asali ya nyuki wakubwa kwa ujumla, nipigie
8 Kanama, 2018
abdillahi (kimara) bavuzeko
Asali inachkua miezi mngp hasa
4 Ugushyingo, 2018
Benjamin kahn (Tabora tanzania) bavuzeko
Nipo tabora atakaye hitaji asali mbichi na bora anitafute 0756702701..nauza jumla na rejareja bei zangu ni nafuu sana mikoa yote natuma kwa uaminifu
23 Ugushyingo, 2018
ELIHURUMA MSUYA (DODOMA) bavuzeko
Natafuta mteja wa asali nina lita 500 naomba kuwasilisha
6 Mata, 2019
ELIHURUMA (Dom) bavuzeko
Nauza Asali zipo Lita 500 tell 0754778151
7 Mata, 2019
Godfrey Aloyce (Iringa-njombe) bavuzeko
wadau naomba maelezo kuhusu soko la asali na nta lilivo nchini pia nje ya nchi na process nzima ya usafirishaji
8 Mata, 2019
David (Dar es salaam) bavuzeko
nataka kuanza biashara ya asali, jaman pls mweny kuhtaj kunisaidia mawazo, ushauri wa manunuz na masoko, jins ya kutambua ubora wa asali.. 0682444082, 0672228550.
24 Mata, 2019
john stephano (ikungi singida) bavuzeko
namna ya kufahamu kama asali ndani ya mzinga IPO tayari
4 Gicurasi, 2019
Leonard JOhn (Dar es salaam) bavuzeko
Nataka kufahamu kuhusu bei ya asali Rukwa kwa kuanzia na kilo moja ya asali?
8 Kamena, 2019
Ben kani (Tabora ) bavuzeko
Mimi naitwa ben ni muuzaji wa asali mbichi kutoka kwenye misitu asili ya Tabora..kwa gharama nafuu sana jumLa na rejareJa +255 756 702 701
15 Kamena, 2019
Sylvery (Ilemela) bavuzeko
Mimi nipo mwanza naomba kujua mtu wa nwanza anayefuga nyuki hapa mwanza tuwasiliane.0784866222
18 Nyakanga, 2019
simon (Dar es salaam) bavuzeko
Nina asali mbichi lita 500 hapa Dar ya kutoka tabora anayehitaji tuwasiliane 0763110764/0625689363
27 Nyakanga, 2019
thabit chande (dar) bavuzeko
Natafuta wanunuzi WA nta ndani na nje yanchi
9 Nzeli, 2019
Suleiman (Temeke dar es salaam) bavuzeko
Habari zenu nauza nta Nina kilo km 6000 npo dar
11 Ukwakira, 2019
Suleiman (Temeke dar es salaam) bavuzeko
Kwa anaejua wanunuzi wa nta dar es salaam. Na asali pia ninayo Lita 10000
11 Ukwakira, 2019
dorothy (mwanza) bavuzeko
natafuta wanunuzi wa asali wa ndani na nje ya tanzania.nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla.nina asali ya kutosha kuanzia lita 2000 kwa wiki na kuendelea. namba yangu ni 0754231271
31 Ukwakira, 2019
Amos Makoba (GEITA TZ) bavuzeko
Natafuta wanunuzi wa asali mbichi napatikana mkoa wa Geita. Asali ni pure kabisa not mixed with water...1litre nauza kwa Tsh.11000/=
Contact me through👉0747520134
Ahsanteni.
Ahsante
12 Ugushyingo, 2019
(Umuntu utazwi) bavuzeko
Maombi mgeni toka (Njombe nyanda za juu kusini) Njombe uku kwetu kunamazingira mazuri ya kufugia nyuki pia hata asali itokayo maeneo haya ni nzito na nzuri sasa "changamoto iliyopo sina utalaam zaid namna ya (uvunaji wa mazao yatokanayo na nyuki,utenengenezaj wa mizinga ya kisasa naomba mtalaam/watalaam wanipe elimu hata kwa njia ya mawasiliano au waniite tuungane pamoja nipo taari kufanya nao kazi nina umri wa miaka (25 saiv) [0763769385]
[0685245443]
17 Ukuboza, 2019 (edited 17 Ukuboza, 2019)
Stephen Danda (Njombe) bavuzeko
Nina lita 500 za nyuki wakubwa bei ni sh 10000 nakutumia popote Tanzania pia nina asali wa nyuki wadogo lita 100 bei ni sh 40000 kwa lita tena tumeanzisha mtandao wa wazalishaji asali TANZANIA HONEY PRODUCER NETWORK piga 0759625696 au andika stephendanda3@gmail.com
4 Kamena, 2020
Isaya (Dars Salama ) bavuzeko
Natafuta mkulima wa asali ambae naweza kujachukua asali kwake
22 Kamena, 2020
SUNGI SELEMANI (Dodoma) bavuzeko
Nina asali natafuta mnunuaji hasa ambae tunaweza uziana halaf yy akaipaki maana ndo nimetoka kurina iko inajichuja tuu hivyo njoo nikuuzie kwa bei poa nikijua kuwa wewe unakazi ya kuipaki bas bei itakuwa poa kabisa,,,,nipo Dodoma 0655186108
7 Nyakanga, 2020 (edited 7 Nyakanga, 2020)
Subira (Arusha/njiro) bavuzeko
Nina asali ya nyuki wakubwa arusha nauza jumla na rejareja karibuni nipigie 0765646481/0685380821
28 Ukuboza, 2020

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.