
wa kwanza ni mwlKinyange Focus wa Mlole sekondari akinukuu maelezo ya Dr.Jane-afisa uhifadhi Gombe.

Mabalozi wa utalii wakiwa ktk semina ya utalii jengo la Taarifa kwa watalii-Kigoma ujiji.

Mtaalamu wa magonjwa ya wanyama.Dr.Jane.akiwasilisha mada,juu ya uhifadhi wa mbuga za wanyama.Sokwe ni mhimu wahifadhiwe,maana wanaisha.amekaribisha watalii wanaopenda kuwaona sokwe,jane peaks,misitu,maporomoko ya kakombe na wanyama wengi hapa Gombe.Karibu sana wadau wetu,bei ni nafuu sana.

Baadhi ya walimu wa manispaa kigoma ujiji-mabalozi wa utalii ktk semina.June,2012

mhifadhi mkuu(bi Noelia myonga.aliyesimama) akifungua semina ya uhifadhi na utalii kwa walimu wa kigoma ujiji.kulia na Susuma Kusekwa.Mfifadhi

Gombe national parks,in kigoma. we welcome all,and we NYDT we can connect our volunteers to this park.contact 0765794896(Ramadhan joel)



