Jamani wadau Tanzania ni ya kwetu tujitahidi kujiuliza tutaifanyia nini Tanzania yetu. Kuna watu wanaitafuna Tanzania na sisi wenye Asasi tuna jukumu kubwa sana la kuhakikisha hao watu hawapati mwanya huo.
Najiuliza mimi nitaifanyia nini Tanzania Yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote