Envaya

MTANZANIA NA ONGEZEKO LA NAULI

charles kiwesi (Dar es salaam)
4 Aprili, 2013 23:05 EAT
Habari gani ndugu zangu ktka tanzania yetu.sitopoteza mda sana lakini nipenda kuwajulia hali ingawa nafahamu kua mlipo mnamachungu na maumivu kwa jnsi vile mnavyozidi kuumizwa siku baada ya siku.ndugu zangu kwakweli inaumiza sana kuona leo tunapandishiwa nauli wakati bado tunatahabika na hali ngumu ya maisha ya kila siku mimi leo nina sababu kuu tatu za kutoridhika kwa ongezeko la nauli hizi 1;hakuna ongezeko ktka bei ya mafuta 2:pato la mtanzania halipanda 3:hakuna oboreshwaji wowote ule katika miundo mbinu barabara na udhibitwaji wa foleni mabarabarani Kwangu kwa sababu hzo tu zinanitosha kupiga kelele za kukana ongezeko hili kwani ni lengo la kutufanya ss masikini kuzid kua masikin na bila kuwa.na matumaini katka maisha yetu

Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki