Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Kila baada ya miezi mitatu NVRF wanawatoa watoto wao out ukiwa mdau wa karibu mwezi ujao tunategemea kuwatoa out unaweza kuchangia hata maji ya kunywa tu na utabarikiwa sana
Ibitekerezo (0)
Tunakuza vipaji kwa watoto Volunteer wa NVRF akiwa kwenye picha na msanii mtoto Nyamonde
Mkurugenzi wa NVRF ndugu Peter Kiangi akiwa anaongea na vyombo vya habari juu ya Taasisi ya N.V.R.F jana ofisini N.V.R.F
Kijana akiwa jukwaani kuwaelezea wana jamii ya mabibo kile walichofundishwa siku ya semina angalia akiwa anahutubia zaidi ya watu 1000 na ni mchezaji wa mpira wa miguu NVRF tangia akiwa na miaka 7 na sasa ana miaka 12