Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kila binadamu ameumbwa akiwa na uwezo wa kuwa na mafanikio, Jambo ambalo linawatofautisha watu walio fanikiwa na masikini ni uwezo wa kuamua na kuchagua, kwanini nimesema hivyo maisha yetu hakika na ule uwezo wa kuchagua na kuamua unataka kuwa na mafanikiao au la ... mfano yule aliyeamua kuwa na mafanikio na yule aliyeamua kutokuwa na mafanikio wote wako sawa kwa maamuzi yao hayo na kila mmoja atapata Heshima juu ya uamuzi wake alioamua.
March 10, 2015