Kuamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii Kufadhili vijana ambao awana taarumu yoyote kuwaunganisha na vyuo Kufundisha jamii jinsi ya kutunza mazingira Kufundisha jamii jinsi ya kujikwamua kutumia mikopo kufundisha na kuamasisha jamii kilimo ufugaji kutatua migogoro mbalimbali