Fungua
NYANZA FOLKLORE RESEARCH INSTITUTE

NYANZA FOLKLORE RESEARCH INSTITUTE

NYAMAGANA, Tanzania

Kufanya utafiti wa maswala ya kiutamaduni katika jamii (Folklore)

Kuendeleza sanaa za maonesho miongoni mwa jamii

Kuwahabarisha waganga wa tiba asilia katika uendelezaji na uendeshaji wa shughuli zao za tiba

Mabadiliko Mapya
NYANZA FOLKLORE RESEARCH INSTITUTE imeumba ukurasa wa Timu.
Manhe Fumbuki Lubasa - Mkurugenzi
3 Machi, 2011
NYANZA FOLKLORE RESEARCH INSTITUTE imejiunga na Envaya.
3 Machi, 2011
Sekta
Sehemu
NYAMAGANA, Mwanza, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu