Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

WALIMU SEKONDARI WA MTWARA WAGOMEA CWT....!!!

TANZANIAN BONIPHACE'S FOUNDATION FOR CHANGES
22 Gicurasi, 2012 at 21:41 EAT (edited 22 Gicurasi, 2012 at 21:42 EAT)

Walimu wote wa shule za sekondari  Manispaa ya Mtwara wamekigomea chama cha walimu  Tanzania(CWT)! Walimu hao wamekigomea chama hicho wakidai makato makubwa hali inayowaongezea ugumu wa maisha! Je, ni sawa? 


Andika ubutumwa (Hisha)

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.