May 22, 2012 at 9:41 PM EAT (edited May 22, 2012 at 9:42 PM EAT)
Walimu wote wa shule za sekondari Manispaa ya Mtwara wamekigomea chama cha walimu Tanzania(CWT)! Walimu hao wamekigomea chama hicho wakidai makato makubwa hali inayowaongezea ugumu wa maisha! Je, ni sawa?