Tangazo :Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mheshimiwa Januari Makamba anapenda kuwaalika wenyeji wa Jimbo la Bumbuli waishio Mkoa wa Dar-es-Salaam na Mkoa wa Pwani katika mkutano utakaojadili maandeleo ya Jimbo lao. Mkutano utafanyika tarehe 4/8/2012 katika ukumbi wa KARIMJEE jijini DSM kuanzia saa tatu hasubuhi hadi saa saba mchana tafadhali ukilipata tangazo ili mtaalifu na mwenzako
wako mwenyekiti wa mwela theatre group vuga Salimina Magogo
31 Julai, 2012